Would you say it? (Ungesema?)

1.kama umeshikwa redhanded,huna budi kusema kuwa umecheat, maana utakuwa unakataa nini????
2.pia kama umeamua mpenzio akuache huu ni mlango mzuri wa kutokea.
3.hata hivyo inategemea na tabia,na mapenzi aliyonayo mpenzi wako,usipo asses vizuri tabia yake waweza jutia maisha yako yote kwanini ulikiri kucheat.
4.kwa mujibu wa ndoa za kikristo,hapo utakuwa umeiandika taraka mwenyewe kwa kukiri kwako.
 


mmhhhh
sitaki tena kuwaza sababu ni ijumaa

Happy Hours babu Asprin .........
 
Basi acheni kwenda kufungishwa ndoa kanisani mfunge za jadi ili ijulikane kabisa mnaedeleza utamaduni!!!NAUMWA NATAMANI NIWAAMBUKIZR WOTEMNAOSAPOTI INFI HAPA!!

Duh! Umekuja tena...........ngoja nisepe!
 
sitaki tena kuwaza haya mambo magumu
leo ijumaa siku takatifu..
Happy Hours babu Asprin ..............


Be blessed Afroie darling!

Babu loves you mpaka anaona aibu.

Uwe na weekend tamu kuliko zote.............Orayt...........: Dont Drink While Driving..........Play Safe Sex!
 
Na hapa ulikuwa umeandika nini vile?


Today 05:13 PM
afrodenzi
JF Premium Member

[h=2]This message has been deleted by afrodenzi.[/h]Reasonmmmhh
 
Basi acheni kwenda kufungishwa ndoa kanisani mfunge za jadi ili ijulikane kabisa mnaedeleza utamaduni!!!NAUMWA NATAMANI NIWAAMBUKIZR WOTEMNAOSAPOTI INFI HAPA!!

duuhhh Lizzy
Hakuna anaye support
ila kuwa kataza ni kitu ambacho
hatuwezi hawa ni watu wazima na hizi
ni choice walizofanya maishani..

Karibu fish and chips
kabla hujaanza kunichamba
hahahahah lol
 
Be blessed Afroie darling!

Babu loves you mpaka anaona aibu.

Uwe na weekend tamu kuliko zote.............Orayt...........: Dont Drink While Driving..........Play Safe Sex!

yote yatazingatiwa
especially sentensi 2 za mwisho ..
asante babu na we nakutakia
w/end njema..

usimkumbatie msichana
yeyote aliyeweka perfume kali ..
take care ,take it easy and good nite

mmmhhhh
 
duuhhh Lizzy Hakuna anaye support ila kuwa kataza ni kitu ambacho hatuwezi hawa ni watu wazima na hizi ni choice walizofanya maishani..Karibu fish and chipskabla hujaanza kunichambahahahahah lol
Hivi kumbe mtu mzima hakatazwi kitu ehhh?!Ngoja mtu anikataze kitu kama sijamrefer kwako umwambie mi ni mtu mzima wala asihangaike kunikataza!!!Chips n fish bana mbona sijala tangu niko mdogo?!Haya naja..ila nimekumiss kama unaweza kuja pale kona tunapokutanaga siku zote njoo nikwambie kitu....
 

Inategemea umecheat na nani.
 
Reactions: Mbu

dahhhhh
unaweza kumkataza lakini kumbuka
mtoto wa mika 15 hajakomaa vizuri
ukimwambia kitu anaeza akatae hapo ndipo
unatumia force kidoncho ili akuelewe

sasa baba mzima na ndevu zake tutaweza kweli?
sana sana mta ongea na kumueleza na kumkataza
lakini kama amesha komalia hapo ndio basi..
Usema ukweli hatuwezi kumkataza mtu mzima
mwenye akili timamu..

hahahaahah lol
we mcopy na kum pest kwangu tu
sasa twende basi kule nahitaji umbea
kama huna na baki hapa hahahahahahahalol
I miss you big time tho..


check this

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/144388-friends-marafiki.html
 
Haya nimwkubali mtu mzima haambiliki!!Ehehhehheh umbea nikose?!Njoo basi nimesimama hapa chobingo alafu hata sikuoni!!!
 
Black spirit ni tofauti na white people's spirit, so better kukaa kimya kwa sisi waafrika ni vema zaidi na kuendelea kudumisha mapenzi kuliko kusema na kujikuta mnasambaratisha mlichokijenga!

Kwa sisi waafrika ukimwambia mwenza wako umecheat cha kwanza kufikiria ni kuwa wewe ni malaya na hata ukijitahidi kumwelezea pengine mazingira yalikusababishia hatokuelewa ivyo basi ili uepushe mashairi ya talaka kaa kimya. Si vibaya kuwa na siri maana hata Mungu ana siri na ndie mwanzilishi wa siri, tatizo ni viwango vya utunzaji siri kwa kila binadamu ndo tunatofautiana ila hakuna binadamu asiye na siri. JIFUNZE KUTUNZA SIRI HUSAIDIA WAKATI MWINGINE KUPUNGUZA MADHARA ENDAPO ITAGUNDULIKA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…