unajua Mbu kinachonichosha mie hapa ......au labda kaka Kaizer angefafanua ni umecheat waikati gani??...kama ni kabla hujawa na huyu mpenzio wa sasa (labda ukatembea na mtu ambaye unajua kabisa akisikia from a third part , ataumia)..........na hii sidhani kama inaqualify kwenye definition ya cheating-............its fine ukijisikia kumweleza mjuze kama unaona kuna umuhimu na ni mwelewa (maana mwingine anaweza akachukula past yako akawa anaitumia kukujudge kwa present time bila kuangalia may be umechange au laah) ila kama umecheat wakati uko naye...............whatever the reason/force maaaan....swallow it because to me it doesnt make sense kwa sababu
1. Kama umecheat kwa kuwa umekosoa kitu kwake............why didnt you say akarekebisha?
2. Kama umecheat kwa kupitiwa na shetani.then kwa kuwa shetani ni intangible na non-seen - better mwachie yeye shetani (do not try to make me understand kuwa shetani lives in you and that you are vulnerable to shetani- no body want to be widow in heaven kisa mumewe kenda motoni!! and
3. Kama umecheat kwa tamaa zako, una uhakika gani kama hutapata tamaa tena/ utaconfess mara ngapi? na isitoshe ukikiri kuwa ulipitiwa na shetani au tamaa utanihakikishiaje kuwa huyo shetwan hatokuingia tena na kuwa hutopatikana na tamaa??
kama unataka kuwa msafi kwa mwenzi wako, do not try to justify your evil deeds kwa mgongo wa shetani au tamaa......hizo nguvu utakazozitum,ia kunielewesha mimi nikakuelewa, ni bora ungezitumia kujizuia usicheat. Otherwise shut your mouth and mute your heart....
But kama umemcheat wakati uko naye
Hehehehehe............hiyo red hapo inahuuuuu!.....babu hakumbatii wasichana, babu anakumbatia wajukuu!
yote yatazingatiwa
especially sentensi 2 za mwisho ..
asante babu na we nakutakia
w/end njema..
usimkumbatie msichana
yeyote aliyeweka perfume kali ..
take care ,take it easy and good nite
mmmhhhh
Orayt...........weekend ina mambo!Hiyo iruke tuuu
hahahahahahha lol
ni mambo ya weekend tu
Khaaa! Unakaba mpaka penalti?Mpaka uachane na hiyo kilabu yenu ya wasaliti ndo ntaridhika....
Hivi si ni bora upige kona afu unawahi kwenda kufunga mwenyewe?hommi tatizo apo utukuta mtu anakataa kona anakubali penati....lol
Bado tu mnaendelea na USALITI?!Hivi si ni bora upige kona afu unawahi kwenda kufunga mwenyewe?
Khaaaaa!Bado tu mnaendelea na USALITI?!
Sinachungulia huku kama roho wa Mungu amewashika mabega au bado bado....Khaaaaa!Nlijua bado uko kwenye Siasa kule!
Kule ushamalizana na Nyerere? Nataka nikupe kazi ya kumsoma Mugabe.Sinachungulia huku kama roho wa Mungu amewashika mabega au bado bado....
Nasubiria majibu ya kutosha maana naona mtu 3 tu ndo imenijibu!!Nimemsoma kidogo wakati namsoma mwl...unataka niendelee?!Kule ushamalizana na Nyerere? Nataka nikupe kazi ya kumsoma Mugabe.
Kusema au kutokusema inategemea na personality yako. Wataalamu wa nyota wanaamini personality inategemea na tarehe yako ya kuzaliwa. Kuna watu ni extra honest wakifanya kitu hawawezi kukaa kimya japo kuwa haina maana kuwa ni waaminifu. Wanafanya alafu ni wepesi sana wa kutubu.
Mume wangu ni mmoja wao. Aliwahi ku confess bila hata mimi kumuuliza na nikaishiwa maneno ya kumwambia kwani alikuwa analia. Badala ya kumuhoji nikaanza kubembeleza. He was traped na akajikuta anapata one night stand. Hakunipa details ila alinipa hints na akaniambia less abstain mpaka apime for three months. Mpaka leo nina maswali kibao naona nikimuuliza nitakuwa simtendei haki na nitakuwa naonyesha si mtu wa msamaha na nitamfanya asiseme tena. I tried to think positive na kushukuru kwa kuwa alinambia.
thanks NK for sharing this with us, sasa madamu alikwambia mara ya kwanza:
-unadhani hatarudia tena, au hatakuwa traped tena?
-na kama ikitokea, unadhani this time around atakwambia au atauchuna?
-ungependa ujue au akwambia kwamba sasa hivi 'nimekuwa traped tena' au bora apotezee tu?
Mnaoufagilia....au kuna mwingine?!upi huo....eeh
Wajukuu?? Mmmhhhh fafanua babu ,Hehehehehe............hiyo red hapo inahuuuuu!.....babu hakumbatii wasichana, babu anakumbatia wajukuu! Orayt...........weekend ina mambo! Khaaa! Unakaba mpaka penalti?
Bandugum
Poleni na maumivu ya bajeti, hasa kwa siye wanywaji...:A S embarassed:
yangu ni mafupi tu
Kama umecheat kwenye relationship, unaweza kuwa na guts za kumwambia mwenzio kwamba nimecheat? Hii nimeisikia kwen East Africa Redio asubuhi hii, and I thought lets share it
Kweli unaweza kumwambia mwenzio kuwa nimedo ze nidiful sehem sehem ama utajikausha
Niharakishe kuseam kuwa katiba yetu ya ISC inasimama pale pale vigezo na masharti kuzingatiwa
Good Friday!
Bandugum
Poleni na maumivu ya bajeti, hasa kwa siye wanywaji...:A S embarassed:
yangu ni mafupi tu
Kama umecheat kwenye relationship, unaweza kuwa na guts za kumwambia mwenzio kwamba nimecheat? Hii nimeisikia kwen East Africa Redio asubuhi hii, and I thought lets share it
Kweli unaweza kumwambia mwenzio kuwa nimedo ze nidiful sehem sehem ama utajikausha
Niharakishe kuseam kuwa katiba yetu ya ISC inasimama pale pale vigezo na masharti kuzingatiwa
Good Friday!