Would you say it? (Ungesema?)

Kwa kweli afe nayo kamba yake mwenyewe asinibebeshe zigo zito moyoni mwangu, tunapenda ukweli ila kukabiliana nao tunashindwa kabisa

Fikiria mpenzi wako mmeishi nae kwa raha na tabu sasa raha inapo kuja kukolea anakuja anakwambia nilikuwa natembea na flani si hapo atakuwa amekupunguzia siku za kuishi?
 
hapo umeenda mbali zaidi hommie but hata ingekuwa ni hiyo mara moja ungesema? afu hommie zingatia katiba....
Hommie hata mara moja sisemi aisee! Halafu hommie unajua Katiba imesahaulika sana, tunahitaji new member, Itabidi tukipe uhai tena ISC
 
Ni ngumu sana naprefer asiniambie kabisa sababu naumiaga sana moyoni kwa muda mrefu na vitu vidogo itakuwa hili? nahisi nitamchukia na mapenzi yatashuka sana

hapo Dinnah naona umeongelea zaidi upande mmoja...wewe je?
 
Hommie hata mara moja sisemi aisee! Halafu hommie unajua Katiba imesahaulika sana, tunahitaji new member, Itabidi tukipe uhai tena ISC

kiongozi sidhani kama kutakuwa na jipya kwa wanachama wapya,
kama members wenyewe ndo hawa wa dot com,
wanaoshindwa kujiamini mbele ya mai wife zao...lol...
 
Dah, nilivyo na roho ndogo naweza nikajisalimisha kabla hati ya kukamatwa haijatolewa.

labda uwe umeshaichoka hiyo ndoa upo tayari kwa lolote, iendelee/ivunjike kwako poa tu, hakuna mwanaume anaeweza kustahimili kuckiliza yiyo hadithi, kwanza unaanzia wapi kumwelezea, kuliko hivyo bora umwage kabisa cku unayoenda ku cheat na umjulishe eneo la tukio, kama umefanya cri na iwe cri milele...
 
Waeza ambulia mapengo na ndoa hakuna nani anataka mengine acha watu wafie nayo moyoni.


 

Habari ya maternity leave?

Karibu sana ukumbini
 
hakuna kusema lolote
hakuna kukiri lolote
ni kimya kikuu
kimya kitakatifu
kimya starlet
kimya cha amani
kimya ti
 
Aksante Michelle............jamani some skeletons are meant to remain where they belong!!
Msijifanye watakatifu sana, kwa sababu ungetaka kuwa mtakatifu na mkweli usingecheat in the first place!!

Maisha yenu na yajazwe nuru itakayowaangazia ndani ya nafsi zenu.
 
Waeza ambulia mapengo na ndoa hakuna nani anataka mengine acha watu wafie nayo moyoni.

hivi wewe umeshapata picha kwamba unaanzaje kumwelezea?.."sorry msukuma naomba nikuambie ki2 but nihaidi kwamba utanisamehe, jana cjui nn na nn"...nani anataka kisukari maisha haya?
 
hivi wewe umeshapata picha kwamba unaanzaje kumwelezea?.."sorry msukuma naomba nikuambie ki2 but nihaidi kwamba utanisamehe, jana cjui nn na nn"...nani anataka kisukari maisha haya?

Ataanza hivi sahamani dear nimekutana na pedeshee mmoja tulikuwa tunakunywa wote bar nikajikuta nipo nae chumba namba 103 samahani sana dear nakupenda ni shetani tu alinipitia naomba unisamehe sitarudia tena
 
kiongozi sidhani kama kutakuwa na jipya kwa wanachama wapya, kama members wenyewe ndo hawa wa dot com, wanaoshindwa kujiamini mbele ya mai wife zao...lol...
Sasa kiongozi tufanye ili chama kiwe na Uhai, Pope Kaizer hebu fufua chama bana
 

dah naona ya kale yamepita, na behold, yote yamekuwa mapya! LOL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…