Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
Kwa kweli afe nayo kamba yake mwenyewe asinibebeshe zigo zito moyoni mwangu, tunapenda ukweli ila kukabiliana nao tunashindwa kabisa
Fikiria mpenzi wako mmeishi nae kwa raha na tabu sasa raha inapo kuja kukolea anakuja anakwambia nilikuwa natembea na flani si hapo atakuwa amekupunguzia siku za kuishi?