Would you say it? (Ungesema?)


No sijasema hivyo mamaa...

Ni kwamba nikitoka kumega, wallah sitamwambia....na yeye pia asinambie kwa hisani ya mahusiano yetu.

Bado umenikasirikia? bado mi si babu yako?.........Niteme mate chini? sema SUUU!
 
Hakuna uzembe wa hali ya juu kama kuelezea kucheat kwako kwa mwenza wako,maana hiyo ndo yaweza kuwa mwisho wenu katika mahusiano.
 
...kamanda, huko ni kuungama, hata mw'mungu mwingi wa rehma atakusamehe.
Omba tu msamaha, usiisingizie Radio, lol!
 
Babu kama unawafundisha wajukuu hivo hehehe unawaharibu babu....

babu hivi vi- smiley vya Invisible vimepotelea wapi thatha naona 15 -nimeingia underground sivioni

Na afadhali visiwepo, nshajua lengo lako!
 
No sijasema hivyo mamaa...Ni kwamba nikitoka kumega, wallah sitamwambia....na yeye pia asinambie kwa hisani ya mahusiano yetu.Bado umenikasirikia? bado mi si babu yako?.........Niteme mate chini? sema SUUU!
Kutokukueleza au wewe kutokumweleza bado hakubadilishi UKWELI wa kamba anapoweka kichwa chake kuna mtu alishamtangulia mchana...au wewe unapomshika kiuno kuna njema ilikua imekikamatia mchana kama vile yeye ndo mmiliki.Na ndio maana hata akijua kitakachomliza sio wewe kumwambia/yey kugundua bali wewe kufanya kile kitendo cha usaliti!!!Bado ...mate nimetema na udongo nimelamba!!Ngoja nikaedit kule uone nilivyo siriazzzzz!
 
Hakuna uzembe wa hali ya juu kama kuelezea kucheat kwako kwa mwenza wako,maana hiyo ndo yaweza kuwa mwisho wenu katika mahusiano.
Mwanzo wa mwisho wa mahusiano unaanzia pale unapomsaliti mwenzako.Kwepa hilo kusiwe na muendelezo mpaka kufikia mwisho wa mahusiano!
 
Ngoja nikuimbie kdg"Dada Lizzy ninavyokupendaa, ntakunywa sumu juu yakoAe ae mamaaa ntakunywa sumu juu"Karibu lunch mwaya Lizzy.
 

Hi Lizzy, hata Mungu hapendi pia kuachana na ndoa sasa iweje hapo unadai eti watu waaachane nayo?

halafu hapa pia nadhani sikuwa exclusive kwa wenye ndoa nimezungumzia mahusiano kwa ujumla ambayo wengi wetu hapa wanayo. Mahusiano ya kimapenzi sio ndoa au?
 
...kamanda, huko ni kuungama, hata mw'mungu mwingi wa rehma atakusamehe.
Omba tu msamaha, usiisingizie Radio, lol!

Aisee...Kiongozi...CAN you do it....au ndo unamwambia mkiwa Serengeti plains? LOL
 
Reactions: Mbu
Ngoja nikuimbie kdg"Dada Lizzy ninavyokupendaa, ntakunywa sumu juu yakoAe ae mamaaa ntakunywa sumu juu"Karibu lunch mwaya Lizzy.
Ehehhehe...naja mpenzi...twala nini leo?!
 
ILA ANAPENDA USALITI EHHHH?!Ingekua hivyo sidhani kama biblia inayotaka “ alichokiunganisha Mungu binadamu asikitenganishe“ ingeruhusu exception iwapo mmoja atamsaliti mwenzie kwa kutoka nje ya ndoa!!!Hata mimi naongelea wote...maka ndoa/exclusive relationship huiwezi achana navyo utange tange na barabara mpaka siku utakaporidhika kwamba sasa yatosha!!
 
Wewe, wewe,Unamaanisha unayosema au umeandika tu
.
Siigizi wala sitanii......! Moyoni mwangu ni rahisi kumsamehe aliyejisalimisha kuliko niliyembamba mwenyewe...! Hata hivyo naamini nitasemeheka kiukweli iwapo nitasema kuliko nikifumaniwa au taarifa hizo zikapatikana kwingine, halafu eti ndio napiga magoti....! Najua kabisa kuwa inauma sana.... na huzua maswali mengi ambayo mwenye majibu ni wewe tu.... lakini kama ulikuwa unamaanisha, utakuwa tayari kuyajibu hayo maswali na hatimaye nia yako itabainika....! So, namaanisha ninachosema na najua ninachosema....!

nahisi wewe ni mwanaume ndio maana ikawa rahisi kwako kusamehewa, Mwanamke nirahisi kumsamehe mwanaume ila kwa midume?mmmmm utajuta kwa nini ulisema.
Huenda ukajutia kwa muda, lakini nia yako ya kusema ikibainika basi utaishia ku-appreciate....! Ni safari ngumu na ndefu kidogo.... lakini yenye kuleta imani na amani baina yenu baadaye....!
 
My sis...Najua u are very right there!Lakini nimewahi kusikia watu wanasema 'the truth will set u free'And that 'siku za muongo ni fupi....sijui za mwizi arobaini'Hayo tunayaweka in what position kuhakikisha kuwa maisha yanaendelea kuwa ya amani...Ni hayo tu!-Kaizer....kwani umecheat??!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…