Would you say it? (Ungesema?)

Du! Hapo sijui kitatokea nini:
NACHO CHA RUWA; RUWA NAICHI.
 
Afu hommie kwa muktadha huu hebu tufanye hivi

Kwa mfano nipate msaidizi wa wife, itanilazimu nimwambie wife kuwa ana msaidizi wake? ndoa siipendi au?
Afu tena msaidizi wa wife naye nimpatie msaidizi wake.......itanipasa nimwambie msaidizi wa wife pamoja na wife kuhusu msaidizi wa msaidizi wa wife?

Hatari sana hii.....

Hommie hebu futa hii sredi bana!
 
Sasa na wewe.... Unajua mi ntakusemea!Kama ndoa unaipenda hao wasaidizi wa kazi gani tena...?
 
Sasa na wewe.... Unajua mi ntakusemea!Kama ndoa unaipenda hao wasaidizi wa kazi gani tena...?

Afu we imekuwaje? Mbona umeibuka kabla maternity leave haijaisha?

Nilikumisi sana, welokamu baki.....mambo ya kusemeana kipindi hiki cha bajeti hayafai. au hujui pombe zimepanda bei?
 
wakuu wenyewe mnauzungumziaje uhamisho wa FABREGAS kurudi nyumbani kwa wakatalunya wenzake?
 
wakuu wenyewe mnauzungumziaje uhamisho wa FABREGAS kurudi nyumbani kwa wakatalunya wenzake?

BARCA itaendelea kutisha na kutisha na kutisha!

Hawa wadudu sijui nani atawaweza!
 
BARCA itaendelea kutisha na kutisha na kutisha!

Hawa wadudu sijui nani atawaweza!
sasa kwanini fabregas hakutisha kwenye timu ya kaizer?....

au tuseme hata gerrard akihamia barsa atashinda?yani huyu huyu gerrad wa kwenye timu ya asprin
 
Hi smiles... I missed dude!!!!
Oh I have missed u too... Hope u have been well!
Afu we imekuwaje? Mbona umeibuka kabla maternity leave haijaisha?Nilikumisi sana, welokamu baki.....mambo ya kusemeana kipindi hiki cha bajeti hayafai. au hujui pombe zimepanda bei?
Asante sana.... Nilikumiss pia! Nimeona nichungulie mara moja maana martenity imezidi kuwa ndefu!!
 
au tuseme mfano matesha,sarafina,gaileen na sonia wakihamia barsa nao watatisha ?i mean watakuwa wakatalunya nao?
 
au tuseme mfano matesha,sarafina,gaileen na sonia wakihamia barsa nao watatisha ?i mean watakuwa wakatalunya nao?
Nani kashinda Criket? Pakistani au England? halafu Yule Dereva wa Fomula One anaitwa nani vile?
 
sasa kwanini fabregas hakutisha kwenye timu ya kaizer?....

au tuseme hata gerrard akihamia barsa atashinda?yani huyu huyu gerrad wa kwenye timu ya asprin

Sasa Teamo hapa unazungumzia timu gani hasa?

Asses Noo nayo inaitwa timu?
 
au tuseme mfano matesha,sarafina,gaileen na sonia wakihamia barsa nao watatisha ?i mean watakuwa wakatalunya nao?

Hahahaaa.... hao ni kizazi cha watumishi wa watwaao

yaani kilichotolewa na TBL/SBL

Nao hakika watakuwa watwaaji...
 
e bana ee, Mwj1 nami naomba dua zako.
Amen, AMEN!...
 
hahah tatizo smiles wengine wanajaribu kuishi kwenye utopia...while I agree kwamba "the truth shall set you free" but do you know what is the truth? is there something like truth in the world?

halafu, ivi tukiwa wawili tunakuwa tunacheat ama vipi manake majuzi tu tulikuwa bondeni apo tukidumisha mila....orait wazee hawacheat wanadumisha mila ila sasa wewe ulicheat LOL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…