Wowowo...

Mimi Nipo kwenye hiyo 5%
 
Mkuu nikishindana na nyie wanaume nitajikuta mwisho wa siku nakuwa chizi sababu hamueleweki nini mnapenda.

Huyo huyo mwenye wo wowo anaweza pita sehemu wala watu wasishituke. Hahahahaaa.
Naweka dau wowowo unalo
 
Yaan haya mawowowo yatatutoa roho tusiokuwa nayo hahahaaa mnatufanya mpka tunajishtukia bhana, vibaya hivyo
Amini nakuambia walla usihangaike na maneno ya mdomoni jipende ulivyo inatosha hatu owagi ma wowo hayo tunazomea tu akikushusha mbezi ndo mwisho wa shughuli
 
Amini nakuambia walla usihangaike na maneno ya mdomoni jipende ulivyo inatosha hatu owagi ma wowo hayo tunazomea tu akikushusha mbezi ndo mwisho wa shughuli
Nashukuru sana mkuu angalau kuna wanaotukubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…