MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Inawezekana sana, kama ni warlord now inamake sense, ndio maana hata aina ya mauaji aliyofanyiwa yalikuwaa hatari .huyo somebody jowie alikuwa kazini killer for hire nothing personal
Kama alikua killer for hire, basi atakua haijui kazi yake vizuri, jamaa kaacha ushahidi wote kwenye eneo la tukio.