WWC Final: Japan vs USA

WWC Final: Japan vs USA

Dah! Hamna local chanel inaonyesha hii game?
 
Inaonekana USA hawapendwi. Japan wavute kasi maana hali langoni kwao ni tete.
 
Hii mechi inaweza kwenda upande wowote sasa.. Ila wajapan wakitulia na kupunguza makeke kwenye mpira wanaweza kupata goli la pili maana naona wamepoteza nafasi mbili tatu nzuri.

Mtu yoyote aliye interested Brazil na Paraguay bado 0-0 dakika ya 87.
 
brazil akikaa vibaya atamfuata argentina
 
kwa kweli wanajitahidi maana pamoja na maumbo yao madogo wanawamudu vilivyo usa.
Wajapn waliwamudu wajerumani, nilikoma mwenyewe. Ila Huyu Rapinoe na Wambach ni noma ukiwachekea wanakuondoa.
 
It's Wambach again! USA 2 Japan 1...Huyu kwa vichwa! ni moto wa kuotea mbali.
 
Hahahah nilisema ukimchekea Wambach lazima akuchape... Sidhani kama Japan watachomoka hapa sasa...!!
 
Back
Top Bottom