JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Dah kweli mwanana msuva kapishana na mihela....kweli maisha lilia bahatiHongera kwao wydad casablanca! Al ahly amechukua xana hacha na wengine ...
Tuajiri makocha na sio watunza vifaa wa real madrid🤣🤣🤣🤣🤣Al Ahly wamevuta pumzi ya moto..Wydad pamoja na timu zingine za Kiarabu mnatufundisha kitu yaani..!
Lile goli mbona halina tofauti na la juzi, la Fei Toto!Yule dogo moutaraji amepiga bonge la goli lile la kwanza wachezaji wetu wana safari ndefu Sana sijui Kama tutafikia hatua hiyo tukiendekeza propaganda za kijinga
[emoji22][emoji23][emoji28]Kanjibai Mudi nae anafikiria kubeba hili kombe akiwa na wachezaji wake hatari kina Mugalu, Mzamiru Kibu na Wawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kanjibai Mudi nae anafikiria kubeba hili kombe akiwa na wachezaji wake hatari kina Mugalu, Mzamiru Kibu na Wawa
SAFI SANA WATAKUWA NA YANGA KUNDI MOJA NA YANGA WATALETA KOMBE[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2245015
Mabao ya dakika ya 15 na 48 yakifungwa na Zouhair El Moutaraji yameipa Wydad AC ya Morocco ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wababe wa Misri, Al Ahly.
Al Ahly ambao walikuwa wakitetea taji hilo, licha ya kushambulia muda mwingi katika mchezo huo wa Mei 30, 2022 wameshindwa kufurukuta katika fainali kwenye Uwanja wa Mohammed V Jijini Casablanca, Morocco.
Ubingwa huo ambao ni wa tatu kwa Wydad unawapa Dola 2,500,000 (Tsh bilioni 5.7) wakati Al Ahly wameambulia Dola 1,250,000 (Tsh bilioni 2.7) kwa kushika nafasi ya pili.
View attachment 2245016