Wydad AC waipiga Al Ahly 2-0 watwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika 2021/2022

Simon Happygod Msuva gemu hili la fainali angekuwepo na kuonekana duniani kote hivyo kuwa rahisi kuhamia timu nyingine kubwa.

Sijui ni nini kilimkumba Msuva na Wydad Athletic Casablanca wakaachana wakati usio muafaka kwa mchezaji huyu mtanzania.

Kule kuna wachezaji Quality, sisi tunamuona mkali, kwa wydad anaonekana wa kawaida sana. Na ni bora hawamchezeshi.
 
Kule kuna wachezaji Quality, sisi tunamuona mkali, kwa wydad anaonekana wa kawaida sana. Na ni bora hawamchezeshi.

Kwa maana hiyo Msuva kakimbia kiaina, angemuachia ajenti wake ashughulikie suala hilo la mkataba / mshahara huku akiendelea na kazi Wydad Athletic. Akumbuke mchezaji professional huwa hana mihemuko ya kususa huku ana ajenti wa kueleweka .
 
Makolo watwambie zile sare mbili walizipataje?
 
Watu weusi tulitakiwa tunazshe makombe yetu, Waarabu hatuwezi kushindana nao.
 
WAPIGWE TU MANA HAKUNA NAMNA
Wakuu, hivi ile style ya Ahly ikiongozwa na kocha wao mkuu ya kuvalishwa medali, na kuzivua pale pale, tena mchezaji mwingine kuzuia kabisa kuvalishwa, na kupokea kwa mkono, ni sahihi?
 
Kwa maana hiyo Msuva kakimbia kiaina, angemuachia ajenti wake ashughulikie suala hilo la mkataba / mshahara huku akiendelea na kazi Wydad Athletic. Akumbuke mchezaji professional huwa hana mihemuko ya kususa huku ana ajenti wa kueleweka .

Nisidanganye mkuu, ukweli sijui chochote kuhusu kuondoka kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…