Wydad Casablanca Fans Tukutane hapa

Nakumbusha tu kwamba namba 1 hadi 10 kwa kiarabu ni hizi;

1. Wahed.
2. Ethnein.
3. Thalatha.
4. Arba-a.
5. Khamsa.
6. Sitta.
7. Sab-a.
8. Thamaniya.
9. Tisa'a
10. A'shara
 
UJINGA NI KIPAJI.

WYDAD ITAKUSAIDIA NINI MAISHANI MWAKO.

FICHA UJINGA
ACHA USHAMBA.

Simba wanapeleka timu nne.
Simba wanatangaza utalii.
Wanaitangaza nchi kisoka.
Wanalipa Kodi, Taifa nk.

Hiyo timu YENU msemaji ALISEMA wenye akili ni wawili.
Haijalishi
 
Haikuwa kazi rahisi ,saaa tupange mikakati ya kupasua nusu fainali

#OnceWydadAlwaysWydad
 
Nakumbusha tu kwamba namba 1 hadi 10 kwa kiarabu ni hizi;

1. Wahed.
2. Ethnein.
3. Thalatha.
4. Arba-a.
5. Khamsa.
6. Sitta.
7. Sab-a.
8. Thamaniya.
9. Tisa'a
10. A'shara
Kwan tumefungwa ngapii mlongo?
Aggregate ni 1 kwa 1.
Penalties huwa ni bahati, na haikua upande wetu basi, tukutane mwakani.
 
Bora nifunge na Mamelodi kuliko na Madundukaz Aka MakoloWizard
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…