joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Mimi timu yangu itakayo shinda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwa hicho kikosi wydad asanten Kwa kushiriki
Wydad tumekuja🚶🚶🚶🚶.Sema unachotuitia.Waaaaaarabuuuuuuu[emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350]
Wameingia cha kike[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tarehe 28/04/2023 saa 3:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki pale jijini Casablanca tunaenda kuwaangamiza hawa Mikia/Makolokolo/Mbumbumbu/Kinyumenyume bao za kutosha.
Nasemaje, wapigweee mpaka wachakae, maana hakuna namna.
UJINGA NI KIPAJI.
WYDAD ITAKUSAIDIA NINI MAISHANI MWAKO.
FICHA UJINGA
ACHA USHAMBA.
Simba wanapeleka timu nne.
Simba wanatangaza utalii.
Wanaitangaza nchi kisoka.
Wanalipa Kodi, Taifa nk.
Hiyo timu YENU msemaji ALISEMA wenye akili ni wawili.
Kila la kheli Wydad timu yangu ya utotoni
Mkuu wew ndo ufiche ujinga wako,UJINGA NI KIPAJI.
WYDAD ITAKUSAIDIA NINI MAISHANI MWAKO.
FICHA UJINGA
ACHA USHAMBA.
Simba wanapeleka timu nne.
Simba wanatangaza utalii.
Wanaitangaza nchi kisoka.
Wanalipa Kodi, Taifa nk.
Hiyo timu YENU msemaji ALISEMA wenye akili ni wawili.
AhaaaaahaKatika kupendezesha uwanja ..View attachment 2599249
Bado upo?? Nlidhn utatulia baada ya kuchukua 7Wydad for life. Mnyama apigwe tu kajileta mwenyew
Babu tangu umewapa hela wale jamaa kule kwenye wazee wa...... Hujatupia tena mzee.FT
Wydad Athletic Club 1 : 2 Simba SC
Hamtoamini macho yenu Mbwa nyinyi.
UJINGA NI KIPAJI.
WYDAD ITAKUSAIDIA NINI MAISHANI MWAKO.
FICHA UJINGA
ACHA USHAMBA.
Simba wanapeleka timu nne.
Simba wanatangaza utalii.
Wanaitangaza nchi kisoka.
Wanalipa Kodi, Taifa nk.
Hiyo timu YENU msemaji ALISEMA wenye akili ni wawili.
Waaaaaarabuuuuuuu[emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350]
Wameingia cha kike[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tarehe 28/04/2023 saa 3:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki pale jijini Casablanca tunaenda kuwaangamiza hawa Mikia/Makolokolo/Mbumbumbu/Kinyumenyume bao za kutosha.
Nasemaje, wapigweee mpaka wachakae, maana hakuna namna.
UJINGA NI KIPAJI.
WYDAD ITAKUSAIDIA NINI MAISHANI MWAKO.
FICHA UJINGA
ACHA USHAMBA.
Simba wanapeleka timu nne.
Simba wanatangaza utalii.
Wanaitangaza nchi kisoka.
Wanalipa Kodi, Taifa nk.
Hiyo timu YENU msemaji ALISEMA wenye akili ni wawili.
Tuwajue wachezaji wetu naanza na huyu ,mlengaji hodari kuwahi kutokea Africa anapiga mashuti mfano wa Ballack,Lampard ,Schooled na Steven Gerrard wote kuwa pamoja kisha ufikie levo yake..View attachment 2599247
Basi ngoja tuwapunguzie, 9-1[emoji23][emoji23][emoji23]Wachaa wee!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]