Wydad Casablanca Fans Tukutane hapa

Wydad Casablanca Fans Tukutane hapa

Waaaaaarabuuuuuuu[emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350]
Wameingia cha kike[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tarehe 28/04/2023 saa 3:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki pale jijini Casablanca tunaenda kuwaangamiza hawa Mikia/Makolokolo/Mbumbumbu/Kinyumenyume bao za kutosha.

Nasemaje, wapigweee mpaka wachakae, maana hakuna namna.
Aajajaaaaa
 
Kula chuma hicho
 

Attachments

  • 1682409845893.jpg
    1682409845893.jpg
    47.8 KB · Views: 3
UJINGA NI KIPAJI.

WYDAD ITAKUSAIDIA NINI MAISHANI MWAKO.

FICHA UJINGA
ACHA USHAMBA.

Simba wanapeleka timu nne.
Simba wanatangaza utalii.
Wanaitangaza nchi kisoka.
Wanalipa Kodi, Taifa nk.

Hiyo timu YENU msemaji ALISEMA wenye akili ni wawili.
usijali mtani siunajua utani [emoji23][emoji23]
mbona si mnatunyanyasaga watani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka km chizi.
Nweiiii
[emoji881] nguvu 1.
Hallah [emoji3590][emoji833]
 
NIlianza kuishabikia wydad casablanca tangu nikiwa mdogo sana kwa sababu nilizaliwa mtaa wa morocco. Kiukweli naipenda sana hii timu bila kuisahau mamelodi.

Basi nitumie muda huu kuitakia ushindi kwenye mechi yao dhidi ya dunduka
 
Tuwajue wachezaji wetu naanza na huyu ,mlengaji hodari kuwahi kutokea Africa anapiga mashuti mfano wa Ballack,Lampard ,Schooled na Steven Gerrard wote kuwa pamoja kisha ufikie levo yake..
images (24).jpeg
 
Back
Top Bottom