mwarabu feki
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 811
- 1,811
- Thread starter
- #21
Wamepanda mtumbwi wa kibwengoKaribuni Casablanca [emoji16] home of chinjachinja View attachment 2599190
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamepanda mtumbwi wa kibwengoKaribuni Casablanca [emoji16] home of chinjachinja View attachment 2599190
AajajaaaaaWaaaaaarabuuuuuuu[emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350]
Wameingia cha kike[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tarehe 28/04/2023 saa 3:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki pale jijini Casablanca tunaenda kuwaangamiza hawa Mikia/Makolokolo/Mbumbumbu/Kinyumenyume bao za kutosha.
Nasemaje, wapigweee mpaka wachakae, maana hakuna namna.
usijali mtani siunajua utani [emoji23][emoji23]UJINGA NI KIPAJI.
WYDAD ITAKUSAIDIA NINI MAISHANI MWAKO.
FICHA UJINGA
ACHA USHAMBA.
Simba wanapeleka timu nne.
Simba wanatangaza utalii.
Wanaitangaza nchi kisoka.
Wanalipa Kodi, Taifa nk.
Hiyo timu YENU msemaji ALISEMA wenye akili ni wawili.
Wydad 17-0[emoji190][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka km chizi.
Nweiiii
[emoji881] nguvu 1.
Hallah [emoji3590][emoji833]
AahhaaaaaNIlianza kuishabikia wydad casablanca tangu nikiwa mdogo sana kwa sababu nilizaliwa mtaa wa morocco. Kiukweli naipenda sana hii timu bila kuisahau mamelodi.
Basi nitumie muda huu kuitakia ushindi kwenye mechi yao dhidi ya dunduka
Naunga mkono hojaFT
Wydad Athletic Club 1 : 2 Simba SC
Hamtoamini macho yenu Mbwa nyinyi.