Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Taji la ligi kuu toka lini ikaamuliwa kwa mechi mbili? Ndio maana inaitwa ligi lazima ujipime na timu zote zinazoshiriki.Kwa hiyo SImba akimfunga Berkane ni sawa na ameshinda taji la ligi la Morocco?
huyo simba atamfungia wapi berkane, wakati jumapili anaenda kupigwa mitiKwa hiyo SImba akimfunga Berkane ni sawa na ameshinda taji la ligi la Morocco?
Cc Aded Rage.Kwa hiyo SImba akimfunga Berkane ni sawa na ameshinda taji la ligi la Morocco?
Mashabiki wa aina hii dawa yao ni kuwaletea tu Caesar Manzoki siku ya uchaguzi ili awasalimie, halafu unawapiga kushoto.Taji la ligi kuu toka lini ikaamuliwa kwa mechi mbili? Ndio maana inaitwa ligi lazima ujipime na timu zote zinazoshiriki. Kweli mashabiki wa Simba ni ........ Rage alikuwa sahihi
Ni sawa na kumleta Ikangalombo tuu. Signing fee wasted.Mashabiki wa aina hii dawa yao ni kuwaletea tu Caesar Manzoki siku ya uchaguzi ili awasalimie, halafu unawapiga kushoto.
Klabu ya Wydad Casablanca ya Morocco imeachana na Kocha Mkuu wa Afrika Kusini Rulani Mokwena, wiki chache kabla ya Kombe la Dunia la FIFA la vilabu nchini Marekani.
View attachment 3314960
Uamuzi huo ulifanywa Jumatano, Aprili 23 baada ya Wydad Casablanca kumaliza msimu wa Morocco Botola Pro kwa sare ya 1-1 dhidi ya Olympic Safi.
Uamuzi huo ulihitimisha kipindi kifupi cha Mokwena huko Casablanca kufuatia kuteuliwa kwake Julai 2024 huku Wydad ikimaliza ya tatu kwenye jedwali la ligi.
Chini ya kocha Mokwena, Wydad ilifanikiwa kushinda 11, sare 12 na kupoteza mara nne katika mechi 27 za ligi.
Hata hivyo, mambo hayakuwa mazuri kati ya kocha huyo wa zamani wa Mamelodi Sundowns na waajiri wake wa Morocco huku kukiwa na ripoti za kutolipwa mishahara kwa miezi minane na msururu wa matokeo duni huku RSB Berkane ikitwaa taji la ligi.
Jongoo anatupwa na mti wake. Nilishasema Aziz Ki ni wa hapa hapa. Ukishaogeshwa maji ambayo Mzee Mpili amekojo ๐ฆ wewe ni uto for lifeDeal la Aziz Ki limejifia natural death. Ataendelea kula supu za vibudu mitaa ya Jangwani Girls.
๐๐๐๐Kwa hiyo SImba akimfunga Berkane ni sawa na ameshinda taji la ligi la Morocco?
๐๐๐๐๐Deal la Aziz Ki limejifia natural death. Ataendelea kula supu za vibudu mitaa ya Jangwani Girls.
Simba atampiga Stella nje ndani ...Chukua hiyohuyo simba atamfungia wapi berkane, wakati jumapili anaenda kupigwa miti
๐๐๐๐ Rage alikua sahihiMashabiki wa aina hii dawa yao ni kuwaletea tu Caesar Manzoki siku ya uchaguzi ili awasalimie, halafu unawapiga kushoto.
Hamna kocha pale, na ukizingatia wydad ni timu kubwa inafelije kwa mfanoi!Huyu kocha hakuna kitu.
Cc Luc Eymael...
[emoji205][emoji1664] Na