Wydad Casablanca waachana na Rhulani Mokwena

Wydad Casablanca waachana na Rhulani Mokwena

Naanza kuamini taratibu.
Kua timu za Afrika ya Kaskazini wakiona mchezaji au kocha wa timu za Afrika ngozi nyeusi wanawasumbua watawanunua hata kama hawawahitaji kihiivyo, ili mradi wai distabilize Ile timu isiendelee kuwasumbua ili waendelee ku dominate soka la Afrika.
 
Ila mbona hakuwa na matokeo mabaya saa na ukizingatia ni msimu wake wa kwanza?
 
Taji la ligi kuu toka lini ikaamuliwa kwa mechi mbili? Ndio maana inaitwa ligi lazima ujipime na timu zote zinazoshiriki. Kweli mashabiki wa Simba ni ........ Rage alikuwa sahihi
Maumivu utopoloni
 
Back
Top Bottom