Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Kitengo cha scouting and recruitment kikiyumba hata uwe na pesa kiasi gani utoboi. Angalia man u pesa ipo shida recruitment ya makocha na scouting ya wachezaji ndio mbovu.Hamna kocha pale, na ukizingatia wydad ni timu kubwa inafelije kwa mfanoi!
Mbwa haongei, Nyani haongei, Mbumbumbu anaongea.Cc Luc Eymael...
[emoji205][emoji1664] Na 🦮
Bada ya dakika tisini unaweza kuwa wewe ndio umepigwa miti. Nitakukumbusha.huyo simba atamfungia wapi berkane, wakati jumapili anaenda kupigwa miti
In a friend match? maana sioni kukutana kwenye mechi ya kimashindano.Kwa hiyo SImba akimfunga Berkane ni sawa na ameshinda taji la ligi la Morocco?
huyu ni mchezaji au jina hili ni dawa ya mtishamba?Ikangalombo
Maumivu utopoloniTaji la ligi kuu toka lini ikaamuliwa kwa mechi mbili? Ndio maana inaitwa ligi lazima ujipime na timu zote zinazoshiriki. Kweli mashabiki wa Simba ni ........ Rage alikuwa sahihi
😆😂😂🤣huyu ni mchezaji au jina hili ni dawa ya mtishamba?
Hapo aendelee tuu kula msambwanda wa mobetoDeal la Aziz Ki limejifia natural death. Ataendelea kula supu za vibudu mitaa ya Jangwani Girls.
Ndio maana yake kama itakuwa hivyo😇huyo simba atamfungia wapi berkane, wakati jumapili anaenda kupigwa miti
huyo simba atamfungia wapi berkane, wakati jumapili anaenda kupigwa miti
Jumapili ndio hii inaishia. Aliyepigwa miti, naamini unamfahamu. Kazi imebaki kwako kuHamisha magoli sasa.Bada ya dakika tisini unaweza kuwa wewe ndio umepigwa miti. Nitakukumbusha.
Daaah!!!!huyo simba atamfungia wapi berkane, wakati jumapili anaenda kupigwa miti
Mkumbushe....Bada ya dakika tisini unaweza kuwa wewe ndio umepigwa miti. Nitakukumbusha.
Nimeaibika, aisee nafunga mdomo, heshima Kwa simbaDaaah!!!!