Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
FA Rabat timu ndogo? Umeanza kuujua mpira baada ya kununua smartphoneUnderdog wanazikamia timu kubwa kama Bongo.
Anaweza pia akaikosa hiyo shirikisho yenyewe. Kwasababu kaishatolewa kwenye FA halafu kwenye ligi kuwa nafasi ya tatu ni ngumu labda wapambane washike nafasi ya nne huku waombe kombe la FA achukue kati ya Far Rabat au Raja CasablancaNi rasmi Wydad Athletic [emoji1173] hawatashiriki michuano ya CAF champions league msimu ujao. Wameukosa Ubingwa wa ligi kuu pia wameikosa nafasi ya pili kwenye ligi kuu [emoji1173]
Full β Wydad 0 - 1 FAR Rabat
Wydad wasihofu kuna mwenzake walikuwa kundi moja nae atamfuata Shirikisho.
YesHivi Far si ndio yupo Nabi Prof!?
AahaaaaNi rasmi Wydad Athletic π²π¦ hawatashiriki michuano ya CAF champions league msimu ujao. Wameukosa Ubingwa wa ligi kuu pia wameikosa nafasi ya pili kwenye ligi kuu π²π¦
Full β Wydad 0 - 1 FAR Rabat
Wydad wasihofu kuna mwenzake walikuwa kundi moja nae atamfuata Shirikisho.
Akitaka hivyo anunue mechi ya Jumamosi na ile ya mkondo wa pili dhidi ya AzamSimba afanye anavyoweza Azam asiende klabu Bingwa. Azam ataenda kuporomosha points zote Simba na Yanga ilizohangaikia kuzikusanya miaka yote hii.
Ndiye yeyeHivi Far si ndio yupo Nabi Prof!?
Wanaenda kuumana shirikisho hukoNamuona mnyama Simba akiungana na Wydad.
Azam hana pumzi ya kugombea na Simba nafasi ya pili.Akitaka hivyo anunue mechi ya Jumamosi na ile ya mkondo wa pili dhidi ya Azam
Na kama haitosh azinunue timu zote zilizobakisha mechi na yeye
Hapo kwa asilimia 100 ataweza fuzu kwenda CAF CL
All the best kwenu wana LunyasiAzam hana pumzi ya kugombea na Simba nafasi ya pili.
Kama Simba isipopendelewa msimu at the expenses ya Azam,wanaenda Shirikisho π€£π€£Ni rasmi Wydad Athletic π²π¦ hawatashiriki michuano ya CAF champions league msimu ujao. Wameukosa Ubingwa wa ligi kuu pia wameikosa nafasi ya pili kwenye ligi kuu π²π¦
Full β Wydad 0 - 1 FAR Rabat
Wydad wasihofu kuna mwenzake walikuwa kundi moja nae atamfuata Shirikisho.
Azam aliyetolewa na timu kutoka Ethiopia hatua ya awali kabisa kombe la confederation cupSimba afanye anavyoweza Azam asiende klabu Bingwa. Azam ataenda kuporomosha points zote Simba na Yanga ilizohangaikia kuzikusanya miaka yote hii.
Wakati ule sio Sasa ndio maana mnagombea nafasi Moja na Simba.Azam aliyetolewa na timu kutoka Ethiopia hatua ya awali kabisa kombe la confederation cup? Au Azam ipi hiyo?