Wydad kutoshiriki Club Bingwa msimu ujao

Wydad kutoshiriki Club Bingwa msimu ujao

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
22,719
Reaction score
40,739
Ni rasmi Wydad Athletic 🇲🇦 hawatashiriki michuano ya CAF champions league msimu ujao. Wameukosa Ubingwa wa ligi kuu pia wameikosa nafasi ya pili kwenye ligi kuu 🇲🇦

Full — Wydad 0 - 1 FAR Rabat

Wydad wasihofu kuna mwenzake walikuwa kundi moja nae atamfuata Shirikisho.
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.

2. Mbumbumbu SC.

3. Mipang'ang'a SC.

4. Malalamiko SC.

5. Makelele SC.

6. Madunduka SC.

7. Mikia SC.

8. Mazumbukuku SC.

9. Manyaunyau (mapaka) SC.

10. Manyang'au SC.

11. Miso Misondo SC.

12. Mwakarobo SC.

13. Mazombi SC.

14. Kolokhamsa SC.

15. Kolowizards SC.

16. Kinyume nyume SC.

17. Zuwena SC.

18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.

19. Bahasha SC.

20. Ngada SC.

21. Kufa Kiume SC.

22. Masandakolozidad SC.

23. 5imba SC.

JamiiForums1683832807.jpg
 
Ni rasmi Wydad Athletic [emoji1173] hawatashiriki michuano ya CAF champions league msimu ujao. Wameukosa Ubingwa wa ligi kuu pia wameikosa nafasi ya pili kwenye ligi kuu [emoji1173]

Full — Wydad 0 - 1 FAR Rabat

Wydad wasihofu kuna mwenzake walikuwa kundi moja nae atamfuata Shirikisho.
Anaweza pia akaikosa hiyo shirikisho yenyewe. Kwasababu kaishatolewa kwenye FA halafu kwenye ligi kuwa nafasi ya tatu ni ngumu labda wapambane washike nafasi ya nne huku waombe kombe la FA achukue kati ya Far Rabat au Raja Casablanca
 
Ni rasmi Wydad Athletic 🇲🇦 hawatashiriki michuano ya CAF champions league msimu ujao. Wameukosa Ubingwa wa ligi kuu pia wameikosa nafasi ya pili kwenye ligi kuu 🇲🇦

Full — Wydad 0 - 1 FAR Rabat

Wydad wasihofu kuna mwenzake walikuwa kundi moja nae atamfuata Shirikisho.
Aahaaaa

Mamelodi naona kapumua
 
Simba afanye anavyoweza Azam asiende klabu Bingwa. Azam ataenda kuporomosha points zote Simba na Yanga ilizohangaikia kuzikusanya miaka yote hii.
Akitaka hivyo anunue mechi ya Jumamosi na ile ya mkondo wa pili dhidi ya Azam

Na kama haitosh azinunue timu zote zilizobakisha mechi na yeye

Hapo kwa asilimia 100 ataweza fuzu kwenda CAF CL
 
Akitaka hivyo anunue mechi ya Jumamosi na ile ya mkondo wa pili dhidi ya Azam

Na kama haitosh azinunue timu zote zilizobakisha mechi na yeye

Hapo kwa asilimia 100 ataweza fuzu kwenda CAF CL
Azam hana pumzi ya kugombea na Simba nafasi ya pili.
 
Ni rasmi Wydad Athletic 🇲🇦 hawatashiriki michuano ya CAF champions league msimu ujao. Wameukosa Ubingwa wa ligi kuu pia wameikosa nafasi ya pili kwenye ligi kuu 🇲🇦

Full — Wydad 0 - 1 FAR Rabat

Wydad wasihofu kuna mwenzake walikuwa kundi moja nae atamfuata Shirikisho.
Kama Simba isipopendelewa msimu at the expenses ya Azam,wanaenda Shirikisho 🤣🤣
 
Back
Top Bottom