denoo JG
JF-Expert Member
- Oct 27, 2023
- 2,701
- 9,759
TFF wanatuharibia ligi yetu, wao ndio hawana maana kabisa.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani hawafiki nusu fainali sema team lako halifiki sisi tushafika fainali. Unazilaumu vp team kwani ndio zinapanga ratibaKuwa na congested fixtures kama hivi ni ishara ya udumavu wa Ligi pamoja na mismanagement iliyopo kwenye vilabu vyetu mapacha.
Haya wanarundika mamechi kama hivyo halafu mwisho wa siku hata nusu fainali tu hawafiki, matokeo yake wakisharudi kwenye Ligi wananza kushindana kununua mechi kwa vilabu vilivyojichokea vinaelekea kushuka daraja.
Uwanja wa Stade Mohammed V unaotumika na Wydad pamoja na Raja upo katikati ya Casablanca ni kilomita 25 kutoka uwanja wa ndege yaani ni sawa sawa na kutoka Bunju mpaka uwanja wa taifa au Avic Town Kigamboni mpaka uwanja wa taifa pia. Hayo masaa manne ya kusafiri ndani ya Morocco timu itasafiri kutoka wapi kwenda wapi?Na ukifika Casablanca mechi inachzwa mkoani huko Marakesh- yaani kilometa 200 lazma upate connection ya local flights ama basi ni masaa 4, , natumai sasa akili zako kama si za maandazi umeelewa.
Tatizo udumavu wa fikra uliopo kwa watu wanaohusika na management ndio huo huo upo mpaka kwa nyie mashabiki.Nani hawafiki nusu fainali sema team lako halifiki sisi tushafika fainali. Unazilaumu vp team kwani ndio zinapanga ratiba
Simba waliomba wacheze mechi kipindi fulani eti bodi ya ligi wakakataa kwa kuwa yanga walilalamika eti Simba anataka acheze ili aongoze ligi!!Wydad anacheza na Simba jmoc saa 4 usiku lakn leo jumatano ana kibarua cha ligi kuu, nimejiuliza sana kwann haya mambo hayafanyiki hapa bongo, wiki nzima Simba na Yanga zimekaa bila kucheza, Shall we make it?
Uwanja wa Stade Mohammed V unaotumika na Wydad pamoja na Raja upo katikati ya Casablanca ni kilomita 25 kutoka uwanja wa ndege yaani ni sawa sawa na kutoka Bunju mpaka uwanja wa taifa au Avic Town Kigamboni mpaka uwanja wa taifa pia. Hayo masaa manne ya kusafiri ndani ya Morocco timu itasafiri kutoka wapi kwenda wapi?
Aisee huu uongo ni next levelSimba waliomba wacheze mechi kipindi fulani eti bodi ya ligi wakakataa kwa kuwa yanga walilalamika eti Simba anataka acheze ili aongoze ligi!!
Utoto + utopolo na ujima mwingi sana
Mmefika fainali mashindano yapi na haya yanayozungumzwa ni yapi? unadhani huku wapo Marumo na Rivers? kuhusu fainali ya CAF hata Simba keshafika pia Simba ndiyo timu pekee iliyocheza nusu fainali Klabu Bingwa Afrika kwa timu za TanzaniaNani hawafiki nusu fainali sema team lako halifiki sisi tushafika fainali. Unazilaumu vp team kwani ndio zinapanga ratiba
Uwanja wa Mohamed wa v umefungwa kwa matengenezo na ni uwanja wa serikali, uko marakesh uwanja una vigezo vya CAFndio maana Wydad wakawa hawana jinsi zaidi ya kucheza Marakesh.Kutoka Casablanca kwenda Marakesh.
Simba imepelekwa Marakesh na siyo Casablanca.
Marakesh Kuna Baridi sana ni sawa na Hapa Tanganyika timu itue Dar alafu uipeleke MAKETE .
Marakesh ni milima na hewa ya Oksijeni ni chache hivyo mchezaji aliyezoea uwanda wa chini anapata shida kupumua. Hii ni mbinu ya Waarabu [wajombe zetu] .
Casablanca ni mji upo baharini kama Dar na hivyo wamegoma kuchezea huko ili wachezaji wapate shida ya pumzi, la sivyo wangekuwa comfortable kama hapa Dar tu.
Simba nayo mechi ya Marudiano ipeleke mechi Mtwara uwanja wa miiba miiba.