Wydad watamkamia Denis Kibu

Wydad watamkamia Denis Kibu

SAYVILLE

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
7,895
Reaction score
12,975
Dhihaka zilikuwa nyingi dhidi ya Denis Kibu ila katika wachezaji ambao wamekuwa wanacheza kwa kiwango kikubwa kwa miezi minne na zaidi Kibu ni mmoja wao. Najivunia kuwa mmoja wa watu ambao nimekuwa namtetea. Hayo tuyaache kidogo maana ni kibwagizo tu.

Katika mechi ya Raja vs Simba kule Morocco, Kibu alicheza gemu ya hali ya juu na Wydad walimuona live bila chenga. Baada ya hapo zimepita game kadhaa ikiwemo dhidi ya Ihefu na Yanga na huko kote amekiwasha akitoa maassist na kufunga pia. Huko kote Wydad wamemuona pengine tena live bila chenga.

Nina uhakika ataanza gemu ya kesho na Wydad watamuwekea target kwenye kichwa chake. Inabidi tahadhari zichukuliwe kwa sababu Kibu anacheza mpira wa nguvu na kuna wakati wa kugombea mipira huwa anakataa kabisa kushindwa na kupelekea kupata kadi. Napendekeza akipata kadi ya kwanza, akumbushwe kuongeza tahadhari au ikibidi afanyiwe sub ili kuepuka kadi nyekundu.

Tahadhari ni bora kuliko shari.

Inawezekana.....

1682069012005.jpeg
 
Kama unafikiri waarabu wanacheza mpira Kwa kutumia ma guvu nenda kamuulize Onyango.

Waarabu utawatisha wakiona Brain Yako inafanya vizuri sambamba na mwili wako.
Kwani Kibu hatumii akili? Kibu anapambania sana mipira ya 50/50 na yuko vizuri sana katika hilo ila akiwa na mpira ni akili tu utaiona.
 
Hiyo kibu ni galada kama magalasa mengine,alieabahatisha Yanga kwa kuingia kwenye mfumo.
 
Haihitaji kuijadili casablanca, hawa ndugu zetu simba watapigwa nyingi sana ni bora wasalimu amri mapema

Home and away with Raja

3-0
3-1
=6
Kamati Maalum washasema "Simba anashinda 3 au 2 kwa kifupi kesho Simba anashinda"
Zingatia wasemaji Ni Kamati Maalum
Sio Mimi.
 
Dhihaka zilikuwa nyingi dhidi ya Denis Kibu ila katika wachezaji ambao wamekuwa wanacheza kwa kiwango kikubwa kwa miezi minne na zaidi Kibu ni mmoja wao. Najivunia kuwa mmoja wa watu ambao nimekuwa namtetea. Hayo tuyaache kidogo maana ni kibwagizo tu.

Katika mechi ya Raja vs Simba kule Morocco, Kibu alicheza gemu ya hali ya juu na Wydad walimuona live bila chenga. Baada ya hapo zimepita game kadhaa ikiwemo dhidi ya Ihefu na Yanga na huko kote amekiwasha akitoa maassist na kufunga pia. Huko kote Wydad wamemuona pengine tena live bila chenga.

Nina uhakika ataanza gemu ya kesho na Wydad watamuwekea target kwenye kichwa chake. Inabidi tahadhari zichukuliwe kwa sababu Kibu anacheza mpira wa nguvu na kuna wakati wa kugombea mipira huwa anakataa kabisa kushindwa na kupelekea kupata kadi. Napendekeza akipata kadi ya kwanza, akumbushwe kuongeza tahadhari au ikibidi afanyiwe sub ili kuepuka kadi nyekundu.

Tahadhari ni bora kuliko shari.

Inawezekana.....

Mnafungwa na hakuna mchezaji WA waydad atakae hangaika na huyo mtu
 
takuwan wamepotea vizuri sana, watakapokazana kumlinda kibonde, na ndio utakuwa ushindi kwa simba.
 
Back
Top Bottom