X ameninunia!!!

Nilikua nae but tumeachana tayari.

Na kisa cha kuachana inaweza kuwa ni huyo jamaa wa zamani.

Ukiachana na mtu kama kweli unataka kuendelea na maisha yako vzr ni lazima ukate nae mawasiliano kbs la sivyo maosha yako ya mapenzi yatakuwa mabaya na x ataendelea kukubandua tu pale unapokuwa na hamu za kupasuliwa
 
Sijapata kuona mahusiano kama haya, mbona mapenzi yenu yana masharti?

Chinekeee!
 
Sasa si umblock tu kama humtaki tena?..unamuonea huruma ya nini?
 
True
 
Endelea na unachofanya, kitu kizuri sana.....
 
sasa ww si ndo huna kazi kama mzigo wake weka store kwanza upo mkoa gani huenda unateseka bure tu
 
Mhuni kakuachia mzigo wake halafu hapokei simu siku akiufata kwako saa 6 usiku kwamba ana umuhimu nao sana, na kashatengeneza mazingira ya story nina uhakika atakukula hiyo siku!..
Kuna jamaa yangu alimkopa msichana wangu siku ya kumlipa akamuomba aifate hela kwake eti anasubiri wageni hawezi toka, aliponieleza tu nikamjibu short "kuna tpesa, mpesa etc aiweke, ukienda umeliwa!"..
Sisi wanaume hatuishiwi mbinu kwakweli!!..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…