Mimi niko hivi, yan tumeachana hutakaa ukaona text wala sim yangu wala ya mtu wangu yiyote wa karibu ambae mlikua mnafahamiana kupitia mimi labda itokee walikua wana ishu zao huko watajuana wenyewe, kuna mmoja akawa ananambia meachana kwa wema why mchukiane hasira za nn namwambia hakuna hasira lakini nahitaji space sitaki tena kuona ex ana pop up in my life again, haipendez usha move on unaanza tena kurudisha majeshi kwa ex unajidrag low labda iwe tumebahatika kupata mtoto na anatekeleza mahitaj kwa mtoto wake hapo naweza kukutafta ikiwa kuna shida hivi hivi siwez kabisa