Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gusia na PlasmaLCD Vs LED
- LCD kirefu chake ni liquid crystal display ,LED kirefu chake ni light emitting diode
-LCD inatumia mwanga wa fluorescent ,LED yenyewe inatumia diodes ambazo ndizo hutoa mwanga
- LCD hii miale ya fluorescent kwenye LCD TV huwekwa nyuma ya kioo ,LED hutofautiana hizi diodes ambazo ndizo hutoa miale kwenye LED TV inaweza wekwa nyuma ya kioo au pembezoni.
- LCD hutumia na huitaji Mercury katika uzalishaji wao hii mercury sio rafiki kwa mazingira ,LED haihitaji mercury kwenye uzalishaji wao kwa maana hiyo n rafik kwa mazingira.
- LCD yenyewe ni bei nafuu ukilinganisha na LED ,LED yenyewe ni gahli kuliko LCD.
- LCD screen zake zina ukubwa wa 13 hadi 57 inches ,LED screen zake huenda mpaka 90 inches.
- LCD TV husave umeme kati ya asilimia 30 hadi 70 ,LED TV zenyewe husave umeme asilimia 50.
- LCD TV hazitoi picha nzuri iliyonyooka kama ilivyo kwa LED TV ,LED TV zenyewe zinatoa picha nzuri na bora zaidi na ndiyo maana siku hizi TV nyingi ni LED.
- LCD hutumika kwenye portable electronic games,l cameras na camcordersIn,video projection systems,electronic billboards,Computer monitors,Flat-panel television LED hutumika kwenye digital watches,digital computers,cell phones,bulbs and tubes,automotive heat lamps,camera flashes,calculators,aviation lighting,microprocessors,burglar alarms systems,traffic signals hivi ni baadhi tu na vinginevyo.View attachment 2101653View attachment 2101654
Mfano mzuri Kanye West kabla hajawa na mahela alikuwa anatupia vitu vya thaman sana yaan show off za kutosha kwa sababu gani mtu yoyote ambaye hana hela atanunua vitu vya thaman ili kuwaonesha watu kuwa ana hela lakini mwenye hela tayari watu wanajua anazo so hana show off halafu kwake ni vitu vya kawaida tu anaona
kanye mdogo sanaMfano mzuri Kanye West kabla hajawa na mahela alikuwa anatupia vitu vya thaman sana yaan show off za kutosha kwa sababu gani mtu yoyote ambaye hana hela atanunua vitu vya thaman ili kuwaonesha watu kuwa ana hela lakini mwenye hela tayari watu wanajua anazo so hana show off halafu kwake ni vitu vya kawaida tu anaona
NzrZIP Code Vs Postal Code
*Hivi ni vitu viwili ambavyo vinafanana sana vyote vikiwa na lengo moja kumrahisishia mtu kujua eneo husika pale anapotaka kwenda au kutuma mzigo *
- ZIP Code kwa kirefu chake ni Zonal Improvement Plan ni mfumo wa namba ambao husaidia kutambua eneo husika na kurahisisha mzigo au mtu kufika eneo hilo husika bila ya kupotea na kwa urahisi zaidi , Postal Code huu ni muunganiko wa namba ambao huunda namba maalum ya utambuzi wa maeneo hutumika kutrack maeneo kwa ajili ya kusambaza barua au nyaraka na mizigo mbalimbali kwa urahisi.
- ZIP Code ilianzishwa na inatumika huko Ufilipino na USA Postal Code hii ilianzishwa na inatumika huko United Kingdom na nchi nyingine isipokuwa USA na Ufilipino.
- ZIP Code ilianzishwa mwaka 1963 wakat Postal Code ilianzishwa mwaka 1959.
- ZIP Code hii inaundwa kwa namba wakat Postal Code inaundwa kwa namba au muunganiko wa namba na herufi.
- ZIP Code hutumika katika kutambua na kutanabaisha yale meneo ndani ya nchi , Postal Code hii hutumia kutanabaisha yale meneo yaliyopo ndani ya miji kwa ajili ya usambazaji wa nyaraka.
- ZIP Code tarakimu zake huwa 5 hadi 9 , Postal Code zinaweza zikawa fupi au ndefu.
- ZIP Code husaidia kupata reference na utambuzi wa eneo , Postal Code husaidia kupata reference,utambuzi wa eneo,sensa na kwenye kupanga ruti.
Huku kwetu Bongoland ndiyo naona tunaanzaanza haya mambo.View attachment 2114759View attachment 2114760View attachment 2114761