Anapeta kinyama sana.Kumbe nilikuwa namtesa na nilikuwa simpi mahela.Ubahili si jambo jema.X wako ana hali gani huko alipokwenda baada ya kukusaliti? Usaliti wake umemlipa au yuko hoi anajutia anatamani kurudi tena kwako?
X wako ana hali gani huko alipokwenda baada ya kukusaliti? Usaliti wake umemlipa au yuko hoi anajutia anatamani kurudi tena kwako?
Unamchukia Sana?Why should i give a phuck about my ex?
Unamchukia Sana?
Ni kiumbe wa Mungu aliye kufadhili huba hapo awali.Mkumbukage mwayego!Simchukii hata kidogo lakini why should i care ana hali gani?
Hizi hasira tu zinaonesha bado kamoyo kapo kapoWhy should i give a phuck about my ex?
Huu ni ushauri sio?Ni kiumbe wa Mungu aliye kufadhili huba hapo awali.Mkumbukage mwayego!
Ety amenenepa daahAnapeta kinyama sana.Kumbe nilikuwa namtesa na nilikuwa simpi mahela.Ubahili si jambo jema.
Kumkamata halitakiwi duniani wala mbinguni!Huu ni ushauri sio?
Nimeukataa
Hizi hasira tu zinaonesha bado kamoyo kapo kapo
Kinyama sana aisee!Ety amenenepa daah
Mimi na wewe hatujuani, angalau naweza kusoma hisia za Mtu kutokana na Maandiko yake au Matamshi yake. Sio lazima yafafsri yangu iwe kweliKumekucha!!
Hivi kwanini wanaJF mnapenda kuongelea hisia za mtu? Hasira ziko wapi? Moyo wangu wewe umeujuaje?
Sisi ni wabashiri wa kimataifa.Tunaonesha vipawa vyetu mkuu.Kumekucha!!
Hivi kwanini wanaJF mnapenda kuongelea hisia za mtu? Hasira ziko wapi? Moyo wangu wewe umeujuaje?
Inafaa kujifunza au tuendelee kuishi kibishi na Hawa wengineKinyama sana aisee!
Kabisa!Maisha hatua.Inafaa kujifunza au tuendelee kuishi kibishi na Hawa wengine
Mimi na wewe hatujuani, angalau naweza kusoma hisia za Mtu kutokana na Maandiko yake au Matamshi yake. Sio lazima yafafsri yangu iwe kweli
Sisi ni wabashiri wa kimataifa.Tunaonesha vipawa vyetu mkuu.
Bado kuleta kuku tu ili kusafishwa nyota.Kwa wanaJF kweli nyie ni watabiri wa kimataifa kmmk