X wako ana hali gani huko alipokwenda baada ya kukusaliti?

X wako ana hali gani huko alipokwenda baada ya kukusaliti?

Mimi wangu aliniacha ile miaka ya nyuma na kibaya zaidi alitoa mimba yangu na hadi leo hii ndoa yake ni vurugu tupu coz hajawahi pata mtoto mwingne mbwa yule kila kukicha ananiambia nimsamehe ili apate mtoto namwambia hiyo issue yako is beyond of. Akiona mimi nna familia inadunda kama akina shadrack,abednego na meshack
 
Anamaisha yake mazuri yenye furaha na amani tele maana Bwana alimwambia USIFADHAIKE MAANA MIMI NIPO NAWE WAKATI WOTE
 
Sihitaji kujua kuhusu yeye
, kuna maisha baada ya mahusiano yetu.
 
Back
Top Bottom