X wako ana hali gani huko alipokwenda baada ya kukusaliti?

X wako ana hali gani huko alipokwenda baada ya kukusaliti?

Wanaume wa siku hizi moje? Mmekua wambea wambea, yaani ghafla tu, mwanaume unataka kupata taarifa za ex wako. Ndio maana alikuacha

#BeAMan
 
Sijawah kumfwatilia mtu tukiachana
I burn bridges yan no connection yoyote itakayoendelea hata nikikuona unakufa hapo nakuacha
 
Back
Top Bottom