Nimwona Baba mtakatifu91 anakutabiria bwashee ๐
Baba mtakatifu91Huyo aliniambia nimetendwa sijui ๐๐
Hahaha hapana naona wanakutag sana, na kukutabiria mkuu๐Umejuaje bro kama ni wadogo zangu? IDs zao mpya? Ama unanijua mimi na wao personally braza?
Ni kosa kwa mwanaume kumfuatilia X wakeX wako ana hali gani huko alipokwenda baada ya kukusaliti? Usaliti wake umemlipa au yuko hoi anajutia anatamani kurudi tena kwako?
Bado unampenda uyo x mpaka unapata muda wa kumfatiliaX wako ana hali gani huko alipokwenda baada ya kukusaliti? Usaliti wake umemlipa au yuko hoi anajutia anatamani kurudi tena kwako?
Hahahaha ni kale kajamaa ka multiple I'd, kwanza umejuaje nakunywa๐คฃ๐คฃ๐คฃ wewe ni nabii๐คฃ
Hahahaha ni kale kajamaa ka multiple I'd, kwanza umejuaje nakunywa๐คฃ๐คฃ๐คฃ wewe ni nabii๐คฃ
๐๐๐Mpige mzinga wa aftatu uwanunulie masela fegi.
Mno๐คฃ na kweli nachamba koromea kutoa ugwadu wa kiporo mkuu๐Najua unakunywa sisi wanaJF si tumekubaliana ni manabii?
Mno๐คฃ na kweli nachamba koromea kutoa ugwadu wa kiporo mkuu๐
Haswaaa , umepatia nabii๐๐๐ na mimi kama nabii natabiri utakaa bar siku nzima bro
Ole wako unipinge
Hii nzuri sana๐Mimi na ex wangu sasa hivi tumeamua tuwe dada na kaka. Kapata mke na ni mjamzito amenigeuza mimi AI yake ya kumshauri kila kitu kuhusu ujauzito wao.
Eeh kila mtu sasa kajipata hamna mwenye makasiriko na mwenzake๐คฃHii nzuri sana๐
MnoEeh kila mtu sasa kajipata hamna mwenye makasiriko na mwenzake๐คฃ