Inatakiwa kulipia fainiMnisaidie nitoke kwenye hii kitu wazee nilibadilishaga profile picture ndo yote haya yakatokea nimeshatuma email kibao bila mafanikio
Kwa anaeweza kunisaidia tafadhali wakuu
Hii ilinitokea LinkedIn kwa mala ya kwanza najaza taarifa nkikajua nikama Facebook tu au insta kwamba najaza taarifa tu za uongo. Wakanila bunWamekufungia sababu ya impersonation[kujifanya mtu fulani ambaye anatambulika kumbe sio wewe] ambayo ndio hiyo brand iliyotambulika [verified] kwa kesi yako ni wanadai wewe ulisema ni mwakilishi wa hiyo brand
Ili uepuke hiyo ungesign account yako kama Parody/Commentary waliiweka hii option kwenye settings zao na wanaruhusu.
Hapo ndio maana wamekuomba ID na barua rasmi kuwa unatambulika na hiyo brand.
Ukishindwa hapo account ndio haitorudi, impersonation kwa X ni kosa kubwa.
.
Wamenigomea kuingia kama Parody naona hii ishu sitoboiWamekufungia sababu ya impersonation[kujifanya mtu fulani ambaye anatambulika kumbe sio wewe] ambayo ndio hiyo brand iliyotambulika [verified] kwa kesi yako ni wanadai wewe ulisema ni mwakilishi wa hiyo brand
Ili uepuke hiyo ungesign account yako kama Parody/Commentary waliiweka hii option kwenye settings zao na wanaruhusu.
Hapo ndio maana wamekuomba ID na barua rasmi kuwa unatambulika na hiyo brand.
Ukishindwa hapo account ndio haitorudi, impersonation kwa X ni kosa kubwa.
.
Appeal yako hawajairidhia.Wamenigomea kuingia kama Parody naona hii ishu sitoboi
Wakuu nashkuru kwa misaada yenu hatimae X wamenirudishia account yangu ingawa haina followers tena na watu niliowafollow pia wamepotea vipo vitu nilivopostigi tuu.Mnisaidie nitoke kwenye hii kitu wazee nilibadilishaga profile picture ndo yote haya yakatokea nimeshatuma email kibao bila mafanikio
Kwa anaeweza kunisaidia tafadhali wakuu
Bado hujatimiza hivyo vitu 3 walivyokuomba ufanye ndio maana bado una 0 followersWakuu nashkuru kwa misaada yenu hatimae X wamenirudishia account yangu ingawa haina followers tena na watu niliowafollow pia wamepotea vipo vitu nilivopostigi tuu.