Gotze Giyani
Senior Member
- Feb 28, 2022
- 127
- 194
Wadau habari za muda huu poleni na majukumu na Mungu awabariki katika kazi zenu za mikono.
Twende kwenye mada moja kwa moja, kuna mwanamke mmoja mwenye miaka 34 hivi, hajaolewa, mtoto wa Kikurya, tulikutana naye nikamtumia rafiki yake kumtongoza kama utani tuu akakubali.
Basi tukawa wapenzi kama miezi sita tuakaachana na sababu ni yeye alikuwa mkorofi sana, si mnawajua Wakurya nikaona mambo yasiwe mengi kila mtu na hamsini zake nikamblock na namba.
Sasa kinachonikera ni kila siku anatumia namba mpya turudiane mimi nimemkazia zaidi ya mwaka. Eti wadau njia gani nzuri yakukata mawasiliano hata nisione text yake au nibadili laini maana alinikera sana.
Naombeni ushauri wenu mzuri matusi sitaki, feminist nawakaribisha.