pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
- Thread starter
- #21
Ndugu yangu hapo Simbu 'yimekula kwake', afadhali angefika huko Australia. Huko London Marathon atapatana na wanaume wa kweli. Eliud Kipchoge atakuwepo. Mshindi wa 2017 Daniel Wanjiru atakuwepo pia. Wakenya wameshinda London Marathon mara 12 kati ya 14 zilizopita. Kwenye mbio za wanawake pia wakenya wameshinda mara 5 kati ya 7 zilizopita. Naaaaaaaam!He!!!!! nilisahau maskini wee!!!! mkimbiaji wetu tegemeo pekee SIMBU kumbe hakwenda anasubiri kwenda kutoana jasho na vigaga wenzake huko london marathon!!!???? mayo wane!!! sijui tutegemee kwenye kuogelea angalau dunia ijue tofauti kati ya" MUNGU IBARIKI AFRIKA".......na..... "NKOSI SIKEL AFRIKA"