XXI Commonwealth Games Gold Coast 2018: Kenya in the house, with no apologies!!!

XXI Commonwealth Games Gold Coast 2018: Kenya in the house, with no apologies!!!

Unless you want to give me Citizenship of Some Country which I am Not, I dont know what you are talking about. And Seeing that you neither have that power to grant citizenship nor do I require extra citizenships, I decline the offer

HE IS NOT BOARDING 😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
He!!!!! nilisahau maskini wee!!!! mkimbiaji wetu tegemeo pekee SIMBU kumbe hakwenda anasubiri kwenda kutoana jasho na vigaga wenzake huko london marathon!!!???? mayo wane!!! sijui tutegemee kwenye kuogelea angalau dunia ijue tofauti kati ya" MUNGU IBARIKI AFRIKA".......na..... "NKOSI SIKEL AFRIKA"
Yupo dogo mmoja hiv anaitwa failuna nazan 5,000M.nazan ndo atakua tegemeo letu
 
Ndugu yangu hapo Simbu 'yimekula kwake', afadhali angefika huko Australia. Huko London Marathon atapatana na wanaume wa kweli. Eliud Kipchoge atakuwepo. Mshindi wa 2017 Daniel Wanjiru atakuwepo pia. Wakenya wameshinda London Marathon mara 12 kati ya 14 zilizopita. Kwenye mbio za wanawake pia wakenya wameshinda mara 5 kati ya 7 zilizopita. Naaaaaaaam!
tz now it's our turn
 
tz now it's our turn
191be5ab212d00bb6407b0e88a66ca4123ec7178_00.jpg
 
Yupo dogo mmoja hiv anaitwa failuna nazan 5,000M.nazan ndo atakua tegemeo letu
Mwaka huu mambo ni magumu sana hata wale jamaa waliozoea kutawala mashindano pamoja na kwenda huko kwa idadi kubwa karibia robotatu ya nchi wakidhani ni medali za kuokota kama miaka ya nyuma wana hali ngumu mpaka sasa wana dhahabu mbili tuu hivyo tusitarajie huyo kinda akafua dafu
 
XXI Commonwealth Games Gold Coast 2018 is here. The Gold Coast of Queensland, Australia is where its going down. Its Kenya's time to shine!
63619275.jpg
The Opening ceremony two days ago, on the 4th of April 2018.
metricon_stadium_4-games-742x495.jpg
Check out the schedule here it will be happening from the 4th of April-15 April 2018. Gold Coast 2018: Competition Schedule

WhatsApp Image 2018-04-13 at 15.41.37.jpeg

even the Becham's know wassup
 
Mwaka huu mambo ni magumu sana hata wale jamaa waliozoea kutawala mashindano pamoja na kwenda huko kwa idadi kubwa karibia robotatu ya nchi wakidhani ni medali za kuokota kama miaka ya nyuma wana hali ngumu mpaka sasa wana dhahabu mbili tuu hivyo tusitarajie huyo kinda akafua dafu
Nyinyi mko na kokoto ama ,
obvous UGANDA ndio wamechukua izo gold zingine tatu na still more races bado
 
tz now it's our turn
Kipruto-Kibiwott-Kirui.jpg
Habari ndo hiyo! Nambari 1,2,3 wote wakenya, kwenye mbio za Steeplechase 3,000m kule Gold Coast, Australia. Mara ya sita sasa, kwa msururu, kwa Commonwealth Games ambapo tumeshikilia 123 kwenye mbio hizo za steeplechase.
 
Back
Top Bottom