pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
- Thread starter
-
- #21
Ndugu yangu hapo Simbu 'yimekula kwake', afadhali angefika huko Australia. Huko London Marathon atapatana na wanaume wa kweli. Eliud Kipchoge atakuwepo. Mshindi wa 2017 Daniel Wanjiru atakuwepo pia. Wakenya wameshinda London Marathon mara 12 kati ya 14 zilizopita. Kwenye mbio za wanawake pia wakenya wameshinda mara 5 kati ya 7 zilizopita. Naaaaaaaam!He!!!!! nilisahau maskini wee!!!! mkimbiaji wetu tegemeo pekee SIMBU kumbe hakwenda anasubiri kwenda kutoana jasho na vigaga wenzake huko london marathon!!!???? mayo wane!!! sijui tutegemee kwenye kuogelea angalau dunia ijue tofauti kati ya" MUNGU IBARIKI AFRIKA".......na..... "NKOSI SIKEL AFRIKA"
Hao wote anawafahamu .....na cha kufurahisha ni kwamba mazoezi wamemwalika anafanya nao siku hizi ......mbinu zote za ushindi wamempatia....... na zaidi wamemshauri asiende commonwealth kupoteza nguvu za bure kwa ni pesa iko London marathon. Sidhani kama wakongwe hao wamempotosha mswahili mwezao na nadhani hawana sababu ya kufanya hivyo kulinganisha na mafanikio yao. Ngoja tusubiri labda kuna kitu wamekiona kutoka kwakeNdugu yangu hapo Simbu 'yimekula kwake', afadhali angefika huko Australia. Huko London Marathon atapatana na wanaume wa kweli. Eliud Kipchoge atakuwepo. Mshindi wa 2017 Daniel Wanjiru atakuwepo pia. Wakenya wameshinda London Marathon mara 12 kati ya 14 zilizopita. Kwenye mbio za wanawake pia wakenya wameshinda mara 5 kati ya 7 zilizopita. Naaaaaaaam!
Kama amefanya mazoezi nao basi bila shaka anachongoja ni mazuri tu. All the best to Simbu. Ila wakenya pia tutakuwa na kazi si haba. Mo Farah(Br.) na Kenenisa Bekele(Et.) watakuwapo pia kwenye mbio za London Marathon 2018.Hao wote anawafahamu .....na cha kufurahisha ni kwamba mazoezi wamemwalika anafanya nao siku hizi ......mbinu zote za ushindi wamempatia....... na zaidi wamemshauri asiende commonwealth kupoteza nguvu za bure kwa ni pesa iko London marathon. Sidhani kama wakongwe hao wamempotosha mswahili mwezao na nadhani hawana sababu ya kufanya hivyo kulinganisha na mafanikio yao. Ngoja tusubiri labda kuna kitu wamekiona kutoka kwake
unaonekana unaipenda tzbe proud of your tz
Proud of our sportsmen, Hope the organising commitee does not steal the money meant for accomodation like they did with the olypics and expose these kenyan abassadors to squalid conditions!
Why are you so bitter? We are all eastafricans, aren't we? So Yes they are our sportsmen too.be proud of your tz
Mkuu Australia ipo mbele ya East Africa na masaa manane. Athletics events zinaana 8th kwahivyo hiyo ni kutoka saa kumi ya jioni leo. Cheki Kwese Sports. Kama unapata channel za BBC pia utaona 'selected events'.Tujulishane bandugu leo naona kuna riadha wanaume M5000 itakuwa saa ngapi za afrika mashariki na channel gani inaonyesha? naona leo lazima Afrika mashariki ianze kuonekana
Cheki hapo juu kwenye hiyo link nimekuekea ya Competition Schedule nenda hadi chini kwenye hiyo page utaona live results. Hapo utaona ni michezo ipi inaendelea na utaitazama wapi live. Hiyo ndio official site ya Gold Coast 2018.chennel ipi unaonyweshwa hii michezo.
Hongereni kwa kusafirisha wanamichezo 132 sisi bado kwanza.
what? Kenya is Tops on sports and I am proud of it whats your problem?
Rugby, Athletics, Cricket- though now mismanaged, football- but not harambee stars, individual players like mariga oliech wanyama etc, Swimming - cant remember the name of that mzungu Mkenya who broke the world record, Motorsport- Ian duncan, the legend patrick njiru, etc......and what is your country top in?
Waambie wawe watulivu bana.Why are you so bitter? We are all eastafricans, aren't we? So Yes they are our sportsmen too.
Rugby, Athletics, Cricket- though now mismanaged, football- but not harambee stars, individual players like mariga oliech wanyama etc, Swimming - cant remember the name of that mzungu Mkenya who broke the world record, Motorsport- Ian duncan, the legend patrick njiru, etc.
Unless you want to give me Citizenship of Some Country which I am Not, I dont know what you are talking about. And Seeing that you neither have that power to grant citizenship nor do I require extra citizenships, I decline the offerYou're talking about MY country yet I asked you about YOUR country.