Ya Adani na Wachina: Hii ndiyo sababu kuu inayofanya Wanasiasa wetu wawachukie Wazungu

Tuanze na kufanya mageuzi kwenye jeshi la Polisi na kisha katiba.
 
Tuanze na kufanya mageuzi kwenye jeshi la Polisi na kisha katiba.
Mzizi wa fitna kwenye mabadiliko ya kweli nchini kwetu ni Katiba.

Ndo mana kamwe huwezi wasikia CCM wakiunga mkono mabadiliko au marekebisho ya kweli ya Katiba yetu.
 
Kikubwa umenifurahisha kwa kukiri hayo, naomba Mungu lile pepo la uchawa liwe limeisha milele.
Wewe mkongwe humu unanijua vizuri. Mie ni mmoja kati ya wana JF wachache sana ambao kwenye nyeusi tunasema nyeusi na kwenye nyeupe tunasema nyeupe.

Kuwa kwangu neutral ndo kumenisaidia sana kutoa mawazo huru!
 
Aibu kubwa sasa hili jambazi limefurushwa Kenya na US wanalitafuta walitie kwenye nyavu halafu huyu air hostes analirembulia! Watz acheni utani 2025 tufanye maamuzi ya kutoingia tena mkenge
 
Mmna huo uwezo wa kupokea uwekezaji wa DJI, BYD,NIO,HUAWEI ?
 
Hawatupangii siasa zetu,manake haya wahusu muauane,muchinjane,muibiane wao wanachojua wamepiga dili lao.

Wazungu ni race inayo jitambua na wataka woye tujitambue jambo ambalo viongozi wa afrika hawapendezwi nalo.
Hatutaki mtu aje atuelekeza namna yatupasa sisi kujiongoza kwa sababu sisi hatufanyi hivyo kwao.
 
Endapo siku ikitokea ukafanyika uchunguzi huru wa namna kandarasi za Wachina na Wahindi zinavyopatikana hapa Tanzania na Afrika nawaambia wananchi wetu wanaweza choma nyumba zote za Viongozi wetu sio tu Tanzania bali Afrika nzima.
Hahahaa.....waambie waambie
 
Hatutaki mtu aje atuelekeza namna yatupa sisi kujiongoza kwa sababu sisi hatufanyi hivyo kwao.
Majizi wanapenda sana.....afrika hawawezi kwenda na Uadilifu wa Mzungu. Ni majizi yoote.
 
Nyie ni masikini kwa ni mapumbavu hamna akili hata punje kwa nini hao China wasiwe masikini kama nyie ? takataka
 
Tawala nyingi sana za kiAfrika zimegubikwa na masuala ya rushwa na ufisadi, hivyo kwao suala la Uwazi ni adui mkubwa sana.
Uwazi mara nyingi sana huwa unafichua Uovu, hivyo watawala wa Afrika wanapiga vita kubwa sana kuhusu suala hili la Uwazi.
Ukijifanya muwazi unapigwa shaba mchana kweupe.

Utasingiziwa umevujisha siri za sirikali
 
Nyie ni masikini kwa ni mapumbavu hamna akili hata punje kwa nini hao China wasiwe masikini kama nyie ? takataka
Mchina ni mtu mbaya sana. Na utajiri wake wote nitaji3 amefanya miradi Gani ya kufadhili Huduma za Jamii?

Ukiachana na vitenda vya rushwa vya barabara mbovu.
 
Majizi wanapenda sana.....afrika hawawezi kwenda na Uadilifu wa Mzungu. Ni majizi yoote.
Uadilifu unaujua wewe au unaropoka tu ? Madili ya wazungu kwenye migodi yanayoleta kelele unayajua au akili zako zimekariri wachina na wahindi tu.

Hakuna mtu wa nje atakuonea huruma wewe mwafrika mpumbavu usie kuwa na akili hata punje
 
Mwafrika ni mtu wa hovyo....hata umtetee namna gani
 
Mchina ni mtu mbaya sana. Na utajiri wake wote nitaji3 amefanya miradi Gani ya kufadhili Huduma za Jamii?

Ukiachana na vitenda vya rushwa vya barabara mbovu.
Wewe ni kichaa unapenda vitu vya kufadhiliwa kama mlemavu badala ya kufanya kazi.

Hao wachina wanefadhiliwa na nani maendeleo yao ? Unapenda vya bure bure as if hamna mikono wala miguu ? Vya bure vina gharama dogo kaza

Reli yao mpaka leo haumjawalipa pesa yao toka miaka ya 70 mnapaswa mjifunze kuthamini kazi na pesa kama wachina acheni kuleta utani kwenye vitu serious hakuna mjinga atakayekuja kuwajengea nchi for free Fala kabisa
 
Hakuna mwekezaji wa maana kutoka china, uarabuni wala India. Hao watu wamepata bahati ya kuwa na hela ila hawana tofauti na ngozi nyeusi kwa wizi, ubinafsi, unyonyaji na roho mbaya.
Wewe mjinga sana unakipi cha kujifananisha nao hamna akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…