pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Huo mkwara wao asikwambie mtu, wanavamia dukani kwako kama vile wanatafuta muuaji, haya ukiwauliza kulikoni? Eti wanasema tunadai malipo ya control ya fire, sasa shilingi ngapi? Bei inaanzia 30,000/= mpaka 1,000,000/= kutegemeana na biashara.
Tena inaanzia tangu siku ulipojisajili tin number hata kama ndio umeanza biashara juzi tu unapigwa na mifaini kibao.
Wafanyabiashara tunaonewa sana nchi hii.
Naomba tulianzishe tena labda ndio wataelewa