pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
- Thread starter
- #21
Kabisa kabisa, yaani kila idara ni kukusanya pesa tu, kinachoudhi na kukera ni vitisho na ukihoji kidogo wanakutandika na fainiKuna uwezekano mkubwa sana nchi imechanganyikiwa
Ukiwa na mgeni anaweza dhania ndio Rais anaunda Serikali mpya kumbe tunakaribia uchaguzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawajui unapata au unakosa wao wanataka tu, mpaka watu wagome ndio wan act kuchukua hatua, leo ni mwezi karibu hakuna majibu ya kikao cha arnatouglo