pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Aliyesema serikali imefilisika alijua the inner-most info na sasa moshi unafukaWafanyabiashara tunaonewa sana nchi hii
Naomba tulianzishe tena labda ndio wataelewa
Na moto karibu utawaka, si kwa kutuibia namna hii, yaani wakiona kigoli tu mtu unatafta rizki wanaangalia tin na wanakuchapa faini tangu ulipopata tin wakati pengine ulichukua tin kwa ajili ya kulipia malipo ya serikali tu, mimi nadhani waangalie leseni ya biashara badala ya tinAliyesema serikali imefilisika alijua the inner-most info na sasa moshi unafuka
Kwamba hiki kimtungi ndio kizime moto?Siku ukiunguliwa ndio utaelewa
Kwanini fire wanataka hela nyingi hivyo zinaenda kufanya niniHuo mkwara wao asikwambie mtu, wanavamia dukani kwako kama vile wanatafuta muuaji, haya ukiwauliza kulikoni? Eti wanasema tunadai malipo ya control ya fire...
Zinaenda kutunisha mfuko wa serikaliKwanini fire wanataka hela nyingi hivyo zinaenda kufanya nini
umwanzishie nani, ukishindwa biashara kafunge hakuna aliyekulazimisha kufanya hiyo kazi. Mmezidi kukwepa malipo halali ya serikali. Hata fire ambayo ipo kwa faida yenu hamtaki kulipia? Safari hivyo vibiashara vyenu vya magendo vitafungwa tuone km mtaweza uwiziHuo mkwara wao asikwambie mtu, wanavamia dukani kwako kama vile wanatafuta muuaji, haya ukiwauliza kulikoni? Eti wanasema tunadai malipo ya control ya fire, sasa shilingi ngapi? Bei inaanzia 30,000/= mpaka 1,000,000/= kutegemeana na biashara.
Tena inaanzia tangu siku ulipojisajili tin number hata kama ndio umeanza biashara juzi tu unapigwa na mifaini kibao.
Wafanyabiashara tunaonewa sana nchi hii.
Naomba tulianzishe tena labda ndio wataelewa
Kalipeni kodi nyang'au nyie, umamtishia nani kufunga shughuli zako? Wengi wenu wajingawajinga, hamjasoma, walamishi, wezi, washirikina na kila aina ya uchafu. Fungeni leseni mtachukulia BurundiNa moto karibu utawaka, si kwa kutuibia namna hii, yaani wakiona kigoli tu mtu unatafta rizki wanaangalia tin na wanakuchapa faini tangu ulipopata tin wakati pengine ulichukua tin kwa ajili ya kulipia malipo ya serikali tu, mimi nadhani waangalie leseni ya biashara badala ya tin
Utakuwa zima moto wewe sio burek
Kalipeni kodi nyang'au nyie, umamtishia nani kufunga shughuli zako? Wengi wenu wajingawajinga, hamjasoma, walamishi, wezi, washirikina na kila aina ya uchafu. Fungeni leseni mtachukulia Burundi
Alishindwa magu ndio awe huyu?umwanzishie nani, ukishindwa biashara kafunge hakuna aliyekulazimisha kufanya hiyo kazi. Mmezidi kukwepa malipo halali ya serikali. Hata fire ambayo ipo kwa faida yenu hamtaki kulipia? Safari hivyo vibiashara vyenu vya magendo vitafungwa tuone km mtaweza uwizi
umepanic sana, cool down mkuuk
Kalipeni kodi nyang'au nyie, umamtishia nani kufunga shughuli zako? Wengi wenu wajingawajinga, hamjasoma, walamishi, wezi, washirikina na kila aina ya uchafu. Fungeni leseni mtachukulia Burundi
kweli maana kapanic sanaUtakuwa zima moto wewe sio bure
na wakija watakwambia maji yameishaSiku ukiunguliwa ndio utaelewa
NA hata wanapifika wanakuwa wamechelewa sanaaa tu either watu wamezima au umechoma kila kituna wakija watakwambia maji yameisha
ila tusiwalamu na wao wana peleka hesabu kwa mabosi zao kama daladalaNA hata wanapifika wanakuwa wamechelewa sanaaa tu either watu wamezima au umechoma kila kitu
Kuna uwezekano mkubwa sana nchi imechanganyikiwaHuo mkwara wao asikwambie mtu, wanavamia dukani kwako kama vile wanatafuta muuaji, haya ukiwauliza kulikoni? Eti wanasema tunadai malipo ya control ya fire, sasa shilingi ngapi? Bei inaanzia 30,000/= mpaka 1,000,000/= kutegemeana na biashara.
Tena inaanzia tangu siku ulipojisajili tin number hata kama ndio umeanza biashara juzi tu unapigwa na mifaini kibao.
Wafanyabiashara tunaonewa sana nchi hii.
Naomba tulianzishe tena labda ndio wataelewa