Ya bandari yakiendelea, TRA wamepoa, wafanyabiashara sasa tunanyanyaswa na zima moto

Kuna uwezekano mkubwa sana nchi imechanganyikiwa

Ukiwa na mgeni anaweza dhania ndio Rais anaunda Serikali mpya kumbe tunakaribia uchaguzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa kabisa, yaani kila idara ni kukusanya pesa tu, kinachoudhi na kukera ni vitisho na ukihoji kidogo wanakutandika na faini
Hawajui unapata au unakosa wao wanataka tu, mpaka watu wagome ndio wan act kuchukua hatua, leo ni mwezi karibu hakuna majibu ya kikao cha arnatouglo
 
k

Kalipeni kodi nyang'au nyie, umamtishia nani kufunga shughuli zako? Wengi wenu wajingawajinga, hamjasoma, walamishi, wezi, washirikina na kila aina ya uchafu. Fungeni leseni mtachukulia Burundi
Sai...! Hayo maneno yako ya kejeli na kisomo vhako kimekusaidia nini zaidi ya hicho kimshahara chako kilichojaa madeni pimbi wewe!
 
Sai...! Hayo maneno yako ya kejeli na kisomo vhako kimekusaidia nini zaidi ya hicho kimshahara chako kilichojaa madeni pimbi wewe!
Halafu ukute yupo kijijini huko sweka kabisa
Hajui hata kinachoendelea😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Lipa Kodi. Mama anaupiga mwingi
 
Huo ni wizi TRA kila kukicha wanakaa kufikiri kuhujumu Nchi aisee hizi mambo kwa majirani zetu hazipo kabisa ndio maana Watanzania waliopo huko wanapeta tuu...Tanzania Kodi ina afadhali kuliko huo usumbufu na rushwa yake...
 
Unajua huwa siwaelewi wabongo, nyie ndio mlisema wafanyabiashara sasa hivi hawasumbiliwi?
 
Hizi ni kama zile Stika za Nenda Kwa usalama zinauzwa alfu tatu faini yake alfu 30 sijuwi Huwa zinasaidia nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…