mtzedi
JF-Expert Member
- Dec 13, 2011
- 5,983
- 6,171
CAG Assad hashindani na muhimili wowote na sidhani kama ana wapambe. Masuala ya kitaalamu hayahitaji wapambe, anasimamia tu maadili ya fani yake na taratibu za nchi.CAG hawezi kuishinda mihimili miwili yenye uwezo wa kubadili hata nguvu yake kikatiba....uzuri hata yeye anajua wanaenda kumuoverthrow....cha kusikitisha wapambe wake bado wanampa credit ya kuwin battle kwa njia ya kuonyesha vifungu vya katiba kana kwamba ngosha havijui, wakat anavijua na anachotaka ni to kill the man slowly......