Ya Feisal na busara za aliowadharau

Ya Feisal na busara za aliowadharau

ikiumasema

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2015
Posts
923
Reaction score
1,299
Katika kesi hii ya Feisal nina maswali mengi sana ya kujiuliza?Mimi namtizama Fei Kama mchezaji kiongozi kwa wachezaji wengi wa kitanzania kwa Sasa.

Vijana wengi wadogo wanavutiwa na uwezo wake

Sasa nini kilimkuta Feisal mpaka haya yanayomtokea sasa hivi?

Feisali alipata ushauri kwa Nani au Ni utashi wake tu?

Nimemsikia wakili wake akisema hakushitikishwa katika kile wanachokiita kuvunja mkataba je hakuona umuhimu wa ushauri wa kisheria?

Baada ya kushindwa TFF je akienda FIFA akishindwa itakuwaje?

Mimi naona Kama Feisali alikuwa na room mzuri sana ya kuondoka Yanga bila mikwaruzano yeyote..
1. Angewataarifu viongozi wake kwamba anataka kuondoka huku akiwapa muda Fulani mfano baada ya msimu kukamilika akatafute changamoto Mpya nje ya Yanga.....hii ingempa nafasi ya kuwa na uhusiano mzuri na klabu na pia viongozi haraka wangefikiria mbadala wake kikosini na isingeathiri muenendo wa timu...kiufupi hapa angekuwa amewaanda Yanga

2. Kuomba kujadiliana na Yanga auvunje/ aununue mkataba wake.....hapa wangezungumza na wangefikia muafaka hata Kama Yanga wangekataa ila ingemsaidia sana maana vitu vingekuwa documented na isingeonekana anashawishiwa,hapa Fei hata angevunja mkataba kungekuwa na prior information ambayo ingemfanya awe na reference ya kujitetea.

Hizo njia mbili naona zingemsaidia sana Fei huku akiwa na watu wanaomshauri vema nadhani suala lake lingemalizika bila misuguano sana.

NB: Fei ana nafasi ya kukata rufaa kuomba review ya maamuzi ya kamati ya TFF.....asiporidhika pia anaweza kwenda CAS. Ila pia ashauriwe vizuri maana baada ya maamuzi ya CAS hatakuwa na pa kwenda Kama maamuzi hayatakuwa upande wake Ila yakiwa upande wake kwangu Mimi na wengine wengi tutashuhudia mabadiliko makubwa katika sekta ya michezo hasa kwenye wachezaji kuvunja mikataba yao...

I stand to be corrected!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mkataba uliisha, aligoma kuongeza. Taja mwingine
Mbumbumbu hujui chochote
Screenshot_20230110-143219.jpg
 
Huyo mtoto wa kipemba atakaa bench mpaka hizo figa ziote sugu na hadi kesi ije kuisha labda akasaini Mlandege hakuna atakayemtaka tena.

Asichokijua mikataba mingi ya Kibongo hulalia kwa msainishwa na kupewa lugha nyepesi pale anapohoji mambo ya msingi yaliyo kwenye maandishi ila linapokuja suala la kuvunja hii mikataba ya kinyonyaji mpaka mtu uweze kupenya chamber za kukunyonya zilizowekwa na wanyonyaji unakuwa umebaki mweupe kama ni kipaji au mali vinakuwa vimeshashuka thamani.
 
Katika kesi hii ya Feisal nina maswali mengi sana ya kujiuliza?Mimi namtizama Fei Kama mchezaji kiongozi kwa wachezaji wengi wa kitanzania kwa Sasa.

Vijana wengi wadogo wanavutiwa na uwezo wake

Sasa nini kilimkuta Feisal mpaka haya yanayomtokea sasa hivi?

Feisali alipata ushauri kwa Nani au Ni utashi wake tu?

Nimemsikia wakili wake akisema hakushitikishwa katika kile wanachokiita kuvunja mkataba je hakuona umuhimu wa ushauri wa kisheria?

Baada ya kushindwa TFF je akienda FIFA akishindwa itakuwaje?

Mimi naona Kama Feisali alikuwa na room mzuri sana ya kuondoka Yanga bila mikwaruzano yeyote..
1. Angewataarifu viongozi wake kwamba anataka kuondoka huku akiwapa muda Fulani mfano baada ya msimu kukamilika akatafute changamoto Mpya nje ya Yanga.....hii ingempa nafasi ya kuwa na uhusiano mzuri na klabu na pia viongozi haraka wangefikiria mbadala wake kikosini na isingeathiri muenendo wa timu...kiufupi hapa angekuwa amewaanda Yanga

2. Kuomba kujadiliana na Yanga auvunje/ aununue mkataba wake.....hapa wangezungumza na wangefikia muafaka hata Kama Yanga wangekataa ila ingemsaidia sana maana vitu vingekuwa documented na isingeonekana anashawishiwa,hapa Fei hata angevunja mkataba kungekuwa na prior information ambayo ingemfanya awe na reference ya kujitetea.

Hizo njia mbili naona zingemsaidia sana Fei huku akiwa na watu wanaomshauri vema nadhani suala lake lingemalizika bila misuguano sana.

NB: Fei ana nafasi ya kukata rufaa kuomba review ya maamuzi ya kamati ya TFF.....asiporidhika pia anaweza kwenda CAS. Ila pia ashauriwe vizuri maana baada ya maamuzi ya CAS hatakuwa na pa kwenda Kama maamuzi hayatakuwa upande wake Ila yakiwa upande wake kwangu Mimi na wengine wengi tutashuhudia mabadiliko makubwa katika sekta ya michezo hasa kwenye wachezaji kuvunja mikataba yao...

I stand to be corrected!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Huu ushauri Kaka unakufaa wewe na Wenye akili wenzio. Sisi Mazuzu tunang'ang'a kauli za Yanga Wana roho mbaya wamwachie kijana akatafute maisha. Hawajui Yanga nao wanatafuta maisha.
 
Elimu ni changamoto sana kwa wachezaji wazawa
Onyango ana elimu gani kuubwa ya kumfanya aone Mambo Kwa jicho nyoofu? Alipoona anawekwa benchi na inatishia kiwango chake akachukua hatua sitahiki. Mashabiki uchwara walioko JF ndio washauri wa Feisal wanaomjaza maneno eti Yanga Wana roho mbaya. Hata Msomi wa sheria kiwango cha cheti hawezi kumshauri mfanyakazi aache kazi Kwa effective cause Kwa kupeleka mshahara wa mwezi mmoja kwenye akaunti ya mwajiri halafu yeye analala mbele. Mkataba wa kazi ni wa pande mbili na unatakiwa uzibebe pande zote. Unapoacha kazi lazima umpe mwajiri wako kupata mbadala wako, vinginevyo unajidanganya na utashitakiwa Kwa utoro kazini.
 
Onyango ana diploma ya journalism
 
Back
Top Bottom