Ya Feisal, Yanga na maamuzi ya TFF

Ya Feisal, Yanga na maamuzi ya TFF

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,296
Reaction score
3,398
Miongoni mwa mashaur mepesi yaliyopelekwa TFF ni hili swala uvunjaj mkataba wa feisal salum, watu wengi wanachanganya kati ya breach of contract na termination of contract, breach of contract ni ukiukwaj wa mkataba kwa kutofuata masharti ya mkataba wakati termination of contract pamoja na tafsir zingne ila ni ufikaj tamat wa mkataba kwa maridhiano ya pande mbili au kwa kufuata masharti ya mkataba.

Kwa kuwa feisal hakufuata mkataba kwa maana alivunja bila ya kufuata masharti yake,(breach of contract) kisheria kuna (remedies)matokeo 3 iwapo kuna upande mmoja umevunja mkataba pasipo halali kwayo ni-

1. Compensation/upande uliovunja mkataba isivyo halali unaweza kutakiwa kulipa fidia kwa madhara ambayo ameyasababisha kwa upande wa mbili

2. Specific performance, upande kosaji unaweza kuelekezwa kuwa utekeleze kitu fulani kwa lazima, na mamlaka iliyo na uwezo wa kimaamuzi kilichopo ndani ya mkataba au nje ya mkataba kama sehemu ya adhabu,mara nying utekelezwaj wa hili huja baada ya kushndwa kwa upande kosaj kulipa fidia.

3. Injuction (zuio)-upande kosaj halikadhalika unaweza kuzuiwa usifanye kitu fulani kama adhabu na mamlaka yenye uwezo wa kuamua shauri husika kisheria.kama adhabu .

Kwa scenario ya feisal hapa bila shaka litafanyika swala moja au 2 nalo ni injuction, kwa maana ya zuio la yeye asiondoke na ni bado mchezaj wa yanga, simuoni akilipa fidia, zaidi ya kutakiwa kuitumikia yanga mpaka mwisho wa mkataba wake.

Nini yanga wafanye.?
kwa kuwa mchezaji mapenzi na yanga yameisha, ni ngumu kumlazimisha acheze kwa jitihada 100% ,na yanga walichokuwa wanapigania hapa ni kulinda status yao ya mchezaj kutokuondoka kirahisi, hvyo yanga wanaweza kuamua kumuuza kwa timu inayomtaka kwa timu hyo kufuata utaratibu wa kuwasiliana na yanga kwa kuwa mchezaj ana mkataba bado na mwajiri wake ambae ni yanga,pili yanga wanaweza kuendelea kumtumia kikosin mpk mkataba wake uishe na kisha aondoke bure.

Katika kuamua hili swala busara kubwa sana inatakiwa kwa pande zote mbili kujishusha hasa upande wa fei ni lazima waombe msamaha vingnevyo wanaweza kufanyiwa siasa za mpira kuumizwa, ili njia nyingne ifunguke ya kuweza kuondoka na kuwa huru lazima ajishushe na aombe radhi.

NB: Wachezaj lazima wajifunze kusoma na kuelewa vifungu vyote vya kisheria wakati wa kusaini mkatba,na kama hawana uhakika na kesho yao ni vyema wakasaini mikataba ya muda mfupi, na kuwa na wanasheria.

Pia wadau wote lazima wajue mashaur ya namna hii ambayo yatafungua mlango ambao sio mzur kwa uondokaj wa wachezaj katika vilabu vyao kamwe T.F.F hawawez kuukubali kuufungua kwani utakuja kuwatesa mbeleni na kuvitesa vilabu vyetu.

Ambacho nimejifunza watu wengi mapenzi kwa vilabu vyao/vyetu yanaathiri uwezo wa kufikiria.
 
Mtu atoke nyumbani arudishe Sare za mwajiri eti nimeacha kazi Tangu Jana? Kama taratibu na kuacha au kuqchishwa kazi ni rahisi kiasi hicho Nani angebaki kazini? Kuna watu Kila kitu kwao ni ushabiki Tu hata masuala ya Kisheria..
 
Ingekuwa kuvunja mkataba rahis hvyo waarabu wangenunua wachezaj wa kizungu weng sana.
 
Mtu atoke nyumbani arudishe Sare za mwajiri eti nimeacha kazi Tangu Jana? Kama taratibu na kuacha au kuqchishwa kazi ni rahisi kiasi hicho Nani angebaki kazini? Kuna watu Kila kitu kwao ni ushabiki Tu hata masuala ya Kisheria..
Masuala ya mpira yaamuliwe na wabobez wa mpira na masuala ya sheria waachiwe wanasheria period
 
Wengi wanaogopa mashuti ya Feisal siku wakikutana na Yanga.Wameshasahau Kuna K Azz. Kipa wao ilifikia hatua ikikaribia mechi ya Yanga na Simba anajiumiza vidole Kwa maksudi Ili asicheze mechi hiyo.
Comment ya kishamba sana hii'
 
Wengi wanaogopa mashuti ya Feisal siku wakikutana na Yanga.Wameshasahau Kuna K Azz. Kipa wao ilifikia hatua ikikaribia mechi ya Yanga na Simba anajiumiza vidole Kwa maksudi Ili asicheze mechi hiyo. By redio

Bonge la comment
 
Hiyo aya ya mwisho ndio inawaponza wengi sana. Kwa knowledge yangu ndogo ya labour law alichokifanya Feisal ni total breach of contract lakini ukijaribu kuwaelezawatu hawaelewi wanashupalia kweli.

Sasa wale wahafidhina huu uzi wanaupita kama wanaaga maiti
 
Tuwekee hayo masharti ya mkataba hapa tuone Feisal amevunja sharti lipi, kinyume na hapo acheni kujiliwaza na mambo ya jumla jumla.

Nimeshangaa zaidi hapo mwandishi [yes namwita mwandishi sio mwanasheria, coz kaandika pure mawazo yake, na amejaa upendeleo kwa klabu]

- Kwanza amejigeuza msemaji wa TFF kwa kudai hawatakubali.

- Pia alipozuia haki ya mchezaji kupatikana ili kulinda hadhi ya vilabu, anaogopa vilabu vitanyanyaswa mbele ya safari kama mchezaji akiamua kuvunja mkataba, hajiulizi kwanini vilabu vifanye makosa wakati wa kusaini mikataba? huyu anataka vilabu vilindwe hata vikikosea?! Nonsense.

Ajabu huyu mjinga ndie anaonekana mjanja na washamba wa huku, anaonekana zaidi kuwashauri wachezaji wawe makini kusaini mikataba kama vile vilabu haviwezi kufanya makosa, huyu nae ni shabiki tu wa klabu, ajabu anawalaumu mashabiki kwamba hawajui kufikiria!

Kama mambo yangekuwa mepesi kama mnavyodhani TFF isingehangaika kusubiri mpaka jumatatu ili kuwabeba, nyie njooni tu na sceanario zenu za kuokoteza ili kujiliwaza.
 
Yaani hata mi nilishangaa kuona watu wanashupaza shingo kwa kesi nyepesi namna hii.
Ilikua wazi kabisa kua Feisal kaingia mkenge na hata mwenyekiti wa serikali ya mtaa alikua anaweza amua kesi hii😄
Kwenye ajira inaruhusiwa kuresigb 24 sema unatakiwa kulipa mshahara mmoja,
 
Masuala ya mpira yaamuliwe na wabobez wa mpira na masuala ya sheria waachiwe wanasheria period
Hakuna watu wa ajabu nchi hii Kwa Sasa kama wanaojiita wachambuzi. Kuna mmoja kaibuka asubuhi na tuhuma eti "tumeshajua Kamati mmepigiwa simu na wanasiasa". TFF inamwangalia mzushi kama Huyoinamwacha tu wakati Shafii alifiligiswa mchana Kwa maoni kama haya?
 
Tuwekee hayo masharti ya mkataba hapa tuone Feisal amevunja sharti lipi, kinyume na hapo acheni kujiliwaza na mambo ya jumla jumla.

Nimeshangaa zaidi hapo mwandishi [yes namwita mwandishi sio mwanasheria, coz kaandika pure mawazo yake, na amejaa upendeleo kwa klabu]

- Kwanza amejigeuza msemaji wa TFF kwa kudai hawatakubali.

- Pia alipozuia haki ya mchezaji kupatikana ili kulinda hadhi ya vilabu, anaogopa vilabu vitanyanyaswa mbele ya safari kama mchezaji akiamua kuvunja mkataba, hajiulizi kwanini vilabu vifanye makosa wakati wa kusaini mikataba? huyu anataka vilabu vilindwe hata vikikosea?! Nonsense.

Ajabu huyu mjinga ndie anaonekana mjanja na washamba wa huku, anaonekana zaidi kuwashauri wachezaji wawe makini kusaini mikataba kama vile vilabu haviwezi kufanya makosa, huyu nae ni shabiki tu wa klabu, ajabu anawalaumu mashabiki kwamba hawajui kufikiria!

Kama mambo yangekuwa mepesi kama mnavyodhani TFF isingehangaika kusubiri mpaka jumatatu ili kuwabeba, nyie njooni tu na sceanario zenu za kuokoteza ili kujiliwaza.
Kwa hiyo unategemea Jumatatu kuna kitu tofauti na hii Taarifa ya awali? Mburula hawataisha nchi hii.
 
Sioni wapi nimeandika mimi ni mtabiri mpaka useme nachotegemea jumatatu, hivyo hebu jiulize vizuri nani ni mburula kati yangu nawe, au kama umepaona nilipoandika mimi ni mtabiri hebu nioneshe...

Huwezi kuelewa ninachoandika, nyie ni weupe sana, na mna hasira mkiambiwa ukweli, hiyo taarifa imejaa mapengo mengi ya kisheria.
 
Miongoni mwa mashaur mepesi yaliyopelekwa TFF ni hili swala uvunjaj mkataba wa feisal salum, watu wengi wanachanganya kati ya breach of contract na termination of contract, breach of contract ni ukiukwaj wa mkataba kwa kutofuata masharti ya mkataba wakati termination of contract pamoja na tafsir zingne ila ni ufikaj tamat wa mkataba kwa maridhiano ya pande mbili au kwa kufuata masharti ya mkataba.

Kwa kuwa feisal hakufuata mkataba kwa maana alivunja bila ya kufuata masharti yake,(breach of contract) kisheria kuna (remedies)matokeo 3 iwapo kuna upande mmoja umevunja mkataba pasipo halali kwayo ni-

1. Compensation/upande uliovunja mkataba isivyo halali unaweza kutakiwa kulipa fidia kwa madhara ambayo ameyasababisha kwa upande wa mbili

2. Specific performance, upande kosaji unaweza kuelekezwa kuwa utekeleze kitu fulani kwa lazima, na mamlaka iliyo na uwezo wa kimaamuzi kilichopo ndani ya mkataba au nje ya mkataba kama sehemu ya adhabu,mara nying utekelezwaj wa hili huja baada ya kushndwa kwa upande kosaj kulipa fidia.

3. Injuction (zuio)-upande kosaj halikadhalika unaweza kuzuiwa usifanye kitu fulani kama adhabu na mamlaka yenye uwezo wa kuamua shauri husika kisheria.kama adhabu .

Kwa scenario ya feisal hapa bila shaka litafanyika swala moja au 2 nalo ni injuction, kwa maana ya zuio la yeye asiondoke na ni bado mchezaj wa yanga, simuoni akilipa fidia, zaidi ya kutakiwa kuitumikia yanga mpaka mwisho wa mkataba wake.

Nini yanga wafanye.?
kwa kuwa mchezaji mapenzi na yanga yameisha, ni ngumu kumlazimisha acheze kwa jitihada 100% ,na yanga walichokuwa wanapigania hapa ni kulinda status yao ya mchezaj kutokuondoka kirahisi, hvyo yanga wanaweza kuamua kumuuza kwa timu inayomtaka kwa timu hyo kufuata utaratibu wa kuwasiliana na yanga kwa kuwa mchezaj ana mkataba bado na mwajiri wake ambae ni yanga,pili yanga wanaweza kuendelea kumtumia kikosin mpk mkataba wake uishe na kisha aondoke bure.

Katika kuamua hili swala busara kubwa sana inatakiwa kwa pande zote mbili kujishusha hasa upande wa fei ni lazima waombe msamaha vingnevyo wanaweza kufanyiwa siasa za mpira kuumizwa, ili njia nyingne ifunguke ya kuweza kuondoka na kuwa huru lazima ajishushe na aombe radhi.

NB: Wachezaj lazima wajifunze kusoma na kuelewa vifungu vyote vya kisheria wakati wa kusaini mkatba,na kama hawana uhakika na kesho yao ni vyema wakasaini mikataba ya muda mfupi, na kuwa na wanasheria.

Pia wadau wote lazima wajue mashaur ya namna hii ambayo yatafungua mlango ambao sio mzur kwa uondokaj wa wachezaj katika vilabu vyao kamwe T.F.F hawawez kuukubali kuufungua kwani utakuja kuwatesa mbeleni na kuvitesa vilabu vyetu.

Ambacho nimejifunza watu wengi mapenzi kwa vilabu vyao/vyetu yanaathiri uwezo wa kufikiria.
Tatizo lako umechambua kinazi mno!
 
Kwa mkataba wa fei usivyo na thamani ukilinganisha na usumbufu anaotoa kwenye ligi kwa wapinzani, taasisi yoyote inayoharibiwa maslahi na utopolo ingeweza mlipa mshahara wa miaka 5(48m×5) na kumwambia wasumbue hao, wakikung'ang'ania baki wakulipe mshahara wa bure huku perfomance ipo chini, wakikuachia utatafuta timu nyingine, ukikosa timu huna cha kupoteza una mshahara waliokuwa wanakulipa kwa miaka 5, wakikuuza huko unakoenda utalipwa vizuri ila hawa vyura achana nao tu.
 
Mashabiki ya Simba ni mapopoma!
 
Umeandika kitu gani?au bado kuna vitu kichwani?
 
Back
Top Bottom