Ya Feisal, Yanga na maamuzi ya TFF

Ya Feisal, Yanga na maamuzi ya TFF

Mtu atoke nyumbani arudishe Sare za mwajiri eti nimeacha kazi Tangu Jana? Kama taratibu na kuacha au kuqchishwa kazi ni rahisi kiasi hicho Nani angebaki kazini? Kuna watu Kila kitu kwao ni ushabiki Tu hata masuala ya Kisheria..
Inawezekana kabisa si ni maslahi tu. Mtu analipwa m4 ana nn cha kupoteza kama maslahi yamewekwa mezani? Unadhani akipewa pesa nzuri atabaki kuwa loyal kwa klabu huku ana njaa?
 
Umeandika kitu gani?au bado kuna vitu kichwani?
Kwa mkataba wa thamani ya M4 ukilinganisha na anachofanya yule mtoto uwanjani hata shabiki mwenzangu wa simba mzee vesoP anamlipa fei mishahara ya miaka 5 aachane na utopolo asitufunge yale magoli ya mbali. Mpira ni burudani na biashara. Wachezaji wanatafuta maslahi tupate burudani na wadhamini wapate biashara halafu nyinyi mnataka wajitolee kwa posho ya m4.
 
Tuwekee hayo masharti ya mkataba hapa tuone Feisal amevunja sharti lipi, kinyume na hapo acheni kujiliwaza na mambo ya jumla jumla.

Nimeshangaa zaidi hapo mwandishi [yes namwita mwandishi sio mwanasheria, coz kaandika pure mawazo yake, na amejaa upendeleo kwa klabu]

- Kwanza amejigeuza msemaji wa TFF kwa kudai hawatakubali.

- Pia alipozuia haki ya mchezaji kupatikana ili kulinda hadhi ya vilabu, anaogopa vilabu vitanyanyaswa mbele ya safari kama mchezaji akiamua kuvunja mkataba, hajiulizi kwanini vilabu vifanye makosa wakati wa kusaini mikataba? huyu anataka vilabu vilindwe hata vikikosea?! Nonsense.

Ajabu huyu mjinga ndie anaonekana mjanja na washamba wa huku, anaonekana zaidi kuwashauri wachezaji wawe makini kusaini mikataba kama vile vilabu haviwezi kufanya makosa, huyu nae ni shabiki tu wa klabu, ajabu anawalaumu mashabiki kwamba hawajui kufikiria!

Kama mambo yangekuwa mepesi kama mnavyodhani TFF isingehangaika kusubiri mpaka jumatatu ili kuwabeba, nyie njooni tu na sceanario zenu za kuokoteza ili kujiliwaza.
Pamoja na yote uliyo andika Feisal bado ni mali ya Yanga utake usitake
 
Fei Toto ni mchezaji wa Yanga, timu inayomtaka itoe hela hakuna dezo!
 
Sioni wapi nimeandika mimi ni mtabiri mpaka useme nachotegemea jumatatu, hivyo hebu jiulize vizuri nani ni mburula kati yangu nawe, au kama umepaona nilipoandika mimi ni mtabiri hebu nioneshe...

Huwezi kuelewa ninachoandika, nyie ni weupe sana, na mna hasira mkiambiwa ukweli, hiyo taarifa imejaa mapengo mengi ya kisheria.
unajua we ni mjinga sana Feisal ni mchezaj halali wa yanga we endelea kujifariji maisha sio marahisi hivyo na usipende short cut kwenye maisha
 
Tuwekee hayo masharti ya mkataba hapa tuone Feisal amevunja sharti lipi, kinyume na hapo acheni kujiliwaza na mambo ya jumla jumla.

Nimeshangaa zaidi hapo mwandishi [yes namwita mwandishi sio mwanasheria, coz kaandika pure mawazo yake, na amejaa upendeleo kwa klabu]

- Kwanza amejigeuza msemaji wa TFF kwa kudai hawatakubali.

- Pia alipozuia haki ya mchezaji kupatikana ili kulinda hadhi ya vilabu, anaogopa vilabu vitanyanyaswa mbele ya safari kama mchezaji akiamua kuvunja mkataba, hajiulizi kwanini vilabu vifanye makosa wakati wa kusaini mikataba? huyu anataka vilabu vilindwe hata vikikosea?! Nonsense.

Ajabu huyu mjinga ndie anaonekana mjanja na washamba wa huku, anaonekana zaidi kuwashauri wachezaji wawe makini kusaini mikataba kama vile vilabu haviwezi kufanya makosa, huyu nae ni shabiki tu wa klabu, ajabu anawalaumu mashabiki kwamba hawajui kufikiria!

Kama mambo yangekuwa mepesi kama mnavyodhani TFF isingehangaika kusubiri mpaka jumatatu ili kuwabeba, nyie njooni tu na sceanario zenu za kuokoteza ili kujiliwaza.
Hakuna cha bure unataka mchezaji toa Hela sio janja janja.
 
Kweli. Mzeee feisal anapiga. Football vyema kabisa cha msingi pesa aongezewe
 
Miongoni mwa mashaur mepesi yaliyopelekwa TFF ni hili swala uvunjaj mkataba wa feisal salum, watu wengi wanachanganya kati ya breach of contract na termination of contract, breach of contract ni ukiukwaj wa mkataba kwa kutofuata masharti ya mkataba wakati termination of contract pamoja na tafsir zingne ila ni ufikaj tamat wa mkataba kwa maridhiano ya pande mbili au kwa kufuata masharti ya mkataba.

Kwa kuwa feisal hakufuata mkataba kwa maana alivunja bila ya kufuata masharti yake,(breach of contract) kisheria kuna (remedies)matokeo 3 iwapo kuna upande mmoja umevunja mkataba pasipo halali kwayo ni-

1. Compensation/upande uliovunja mkataba isivyo halali unaweza kutakiwa kulipa fidia kwa madhara ambayo ameyasababisha kwa upande wa mbili

2. Specific performance, upande kosaji unaweza kuelekezwa kuwa utekeleze kitu fulani kwa lazima, na mamlaka iliyo na uwezo wa kimaamuzi kilichopo ndani ya mkataba au nje ya mkataba kama sehemu ya adhabu,mara nying utekelezwaj wa hili huja baada ya kushndwa kwa upande kosaj kulipa fidia.

3. Injuction (zuio)-upande kosaj halikadhalika unaweza kuzuiwa usifanye kitu fulani kama adhabu na mamlaka yenye uwezo wa kuamua shauri husika kisheria.kama adhabu .

Kwa scenario ya feisal hapa bila shaka litafanyika swala moja au 2 nalo ni injuction, kwa maana ya zuio la yeye asiondoke na ni bado mchezaj wa yanga, simuoni akilipa fidia, zaidi ya kutakiwa kuitumikia yanga mpaka mwisho wa mkataba wake.

Nini yanga wafanye.?
kwa kuwa mchezaji mapenzi na yanga yameisha, ni ngumu kumlazimisha acheze kwa jitihada 100% ,na yanga walichokuwa wanapigania hapa ni kulinda status yao ya mchezaj kutokuondoka kirahisi, hvyo yanga wanaweza kuamua kumuuza kwa timu inayomtaka kwa timu hyo kufuata utaratibu wa kuwasiliana na yanga kwa kuwa mchezaj ana mkataba bado na mwajiri wake ambae ni yanga,pili yanga wanaweza kuendelea kumtumia kikosin mpk mkataba wake uishe na kisha aondoke bure.

Katika kuamua hili swala busara kubwa sana inatakiwa kwa pande zote mbili kujishusha hasa upande wa fei ni lazima waombe msamaha vingnevyo wanaweza kufanyiwa siasa za mpira kuumizwa, ili njia nyingne ifunguke ya kuweza kuondoka na kuwa huru lazima ajishushe na aombe radhi.

NB: Wachezaj lazima wajifunze kusoma na kuelewa vifungu vyote vya kisheria wakati wa kusaini mkatba,na kama hawana uhakika na kesho yao ni vyema wakasaini mikataba ya muda mfupi, na kuwa na wanasheria.

Pia wadau wote lazima wajue mashaur ya namna hii ambayo yatafungua mlango ambao sio mzur kwa uondokaj wa wachezaj katika vilabu vyao kamwe T.F.F hawawez kuukubali kuufungua kwani utakuja kuwatesa mbeleni na kuvitesa vilabu vyetu.

Ambacho nimejifunza watu wengi mapenzi kwa vilabu vyao/vyetu yanaathiri uwezo wa kufikiria.
Mapenzi kwa vilabu vyao,umbumbumbu na chuki dhidi ya vilabu pinzani ni tatizo Sana.
 
Tuwekee hayo masharti ya mkataba hapa tuone Feisal amevunja sharti lipi, kinyume na hapo acheni kujiliwaza na mambo ya jumla jumla.

Nimeshangaa zaidi hapo mwandishi [yes namwita mwandishi sio mwanasheria, coz kaandika pure mawazo yake, na amejaa upendeleo kwa klabu]

- Kwanza amejigeuza msemaji wa TFF kwa kudai hawatakubali.

- Pia alipozuia haki ya mchezaji kupatikana ili kulinda hadhi ya vilabu, anaogopa vilabu vitanyanyaswa mbele ya safari kama mchezaji akiamua kuvunja mkataba, hajiulizi kwanini vilabu vifanye makosa wakati wa kusaini mikataba? huyu anataka vilabu vilindwe hata vikikosea?! Nonsense.

Ajabu huyu mjinga ndie anaonekana mjanja na washamba wa huku, anaonekana zaidi kuwashauri wachezaji wawe makini kusaini mikataba kama vile vilabu haviwezi kufanya makosa, huyu nae ni shabiki tu wa klabu, ajabu anawalaumu mashabiki kwamba hawajui kufikiria!

Kama mambo yangekuwa mepesi kama mnavyodhani TFF isingehangaika kusubiri mpaka jumatatu ili kuwabeba, nyie njooni tu na sceanario zenu za kuokoteza ili kujiliwaza.
Ni bora uache dharau. Jamiiforum tunatumia ID fake, wee unauhakika gani kua mleta mada hausian na TFF
 
Sioni wapi nimeandika mimi ni mtabiri mpaka useme nachotegemea jumatatu, hivyo hebu jiulize vizuri nani ni mburula kati yangu nawe, au kama umepaona nilipoandika mimi ni mtabiri hebu nioneshe...

Huwezi kuelewa ninachoandika, nyie ni weupe sana, na mna hasira mkiambiwa ukweli, hiyo taarifa imejaa mapengo mengi ya kisheria.
Siku hizi ushakuwa mtaalamu wa sheria?
 
Wengi wanaogopa mashuti ya Feisal siku wakikutana na Yanga.Wameshasahau Kuna K Azz. Kipa wao ilifikia hatua ikikaribia mechi ya Yanga na Simba anajiumiza vidole Kwa maksudi Ili asicheze mechi hiyo. By redio

Bonge la comment
HPo umenena,ni bora kuwaambia ukweli wajue kuwa azizi k bado yupo,wasijifanye wanaruka mkojo kumbe wanakanyaga bonge la timba
 
Yaani hata mi nilishangaa kuona watu wanashupaza shingo kwa kesi nyepesi namna hii.
Ilikua wazi kabisa kua Feisal kaingia mkenge na hata mwenyekiti wa serikali ya mtaa alikua anaweza amua kesi hii😄
Aliingizwa cha kike na waliomshauri. Hata huko CAS akienda, lazima aangukie pua tu. Mkataba hauwezi kuvunjwa kizembe hivyo. Talaka yenyewe lazima wanandoa waende mahakamani
 
Taarifa ya TFF Ina Mapungufu Mengi sana.

Utadhani meandikwa na watu waliokosa Elimu.
 
Mnaongea kishabiki sana.Fikiria ingekuwa upande wa pili yaani yanga wenyewe wanaamua kumuacha mchezaji,je ni lazima akubaliane nao kwa maana mnayoisema pande mbili kukubaliana?

Tumieni akili zenu za kawaida.Ukiwa na mfanyakazi na ukaamua kumuachisha kazi unamlipa stahili zake kulingana na mkataba na sheria zilizopo.
Vivyo hivyo mchezaji akitaka kuvunja mkataba,kama kipengele cha kulipa fidia ama kuununua kipo,mchezaji anafanya hivyo

Utopolo wa yanga ni pale walipoweka kiasi kidogo cha kuununua mkataba sasa baada ya Fei kuonekana wa moto,wanaona milioni 100 haitoshi.

Ni kwa nini waliandika hiyo 100M na mishahara ya miezi mitatu?
Je inalipwa wakati gani hiyo kama siyo katika mazingira kama haya ya sasa?

Acheni kumfanya mchezaji mtumwa.Waarabu walikuja na ofa ya 600M huku Fei akiahidiwa mshahara mkubwa,utopolo kwa jinsi mlivyo na roho mbaya mkakataa.Na bado hamkumuongeza mshahara.Kwa nini mnawafanya wachezaji watumwa?
Kuna vijana hapo mmeajiri upande wa habari vimeshakuwa vigagula tu.Kila siku kujaribu kuuonesha umma Fei si kitu kwamba yupo Aziz!!!
Vijana mnakuwa wajinga kiasi hiki?Hivi Fei ni wa kulipwa milioni 4 halafu Manara analipwa milioni 11??! Kwa kipi?
Aziz ni wa kulipwa milioni 25 na Fei 4 kweli?Mbona mnakuwa na roho za kichawi sana.
Halafu msivyo na shukrani,kijana alicheza kwa moyo hadi mwisho ila mnamkejeli!!
Vigagula wa utopolo !!

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom