Hoja ilivyokuwa inabishaniwa(fact in issue or point of determination) ni kama Feisal alivunja mkataba kihalali Kwa kufuata masharti ya Mkataba wake na Yanga au La,lkn TFF badala ya kutoa decision ya hoja ya Msingi,wanakuja na blanket statement kuwa Feisal bado ni mchezaji halali wa YangaPamoja na yote uliyo andika Feisal bado ni mali ya Yanga utake usitake