Mtuflani Official
JF-Expert Member
- Dec 31, 2019
- 1,952
- 4,416
Francis Nanai ni mtu ambae ameshangazi watu wengi sana. Alikuwa CEO wa Mwananchi Communications Limited ambao ni wachapishaji wa magazeti The Citizen na Mwananchi. Mwezi July aliacha kazi na kuibukia kwenye watia nia wa Jimbo la Kawe kupitia CCM.
Swali: Mshahara wa CEO wa Mwananchi Communications Limited ni mdogo zaidi ya mshahara wa Mbunge?
Swali: Mshahara wa CEO wa Mwananchi Communications Limited ni mdogo zaidi ya mshahara wa Mbunge?