Elections 2010 Ya Gazeti la Raiamwema na makala za Mbwambo; Tujadili hoja

Elections 2010 Ya Gazeti la Raiamwema na makala za Mbwambo; Tujadili hoja

gazeti hili na hasa makala ya johson mbwambo ni za chuki za wazi kwa jk imekuwa ada kwa makala za mbwambo kila wiki kumsema,kukejeli na kumkosoa vibaya jk.kwa muda mrefu sana hali hii inatia kinyaa na kumuona mbwambo ni mtu asiyeaminika.tukumbuke kuwa kabla ya kampeni za uchaguzi mtu huyu aliandika makala huku akisema kuwa waandishi wazingatie maadili katika kipindi hiki.
Lakini mlolongo wa makala zake toka mwanzo wa kampeni umeanza kwenda kinyume na kile alichokiandika kabla ya kampeni.umeanza kuonyesha kuwa mbwambo amekuwa na agenda yake iliyojificha dhidi ya jk.mara aseme kimfaacho jk ni asasi na si urais huku akisahau kuwa ni kikwete huyu huyu ambaye amekuwa madrakani kwa miaka mitano iliyopita huku mbwambo akiwa kama mwananchi wake. Hili ameliandika katika makala yake ya jana 06/10/2010.amefikia mahali akathubutu hata kuandika kuwa inafaa jk akajifunze kwa rais kagame wa rwanda.sina hakika kama alitaka jk akajifunza kutumia nchi za wengine kufadhili ghasia na kutumia nafasi hiyo kusaidia nchi yake au alimaanisha jk akajifunze jinsi ya kuwanyima wapinzani uhuru na kutishia vyombo vya habari,sijui hasa alimaanisha nini.labda watanzania wenzangu mtanisaidia.
Hivi ukubwa wa tanzania utaufananisha na rwanda? Kama kujifunza kwanini kagame wa rwanda asije kujifunza kwa jk kwenye ujenzi wa chuo kikuu cha kuigwa cha dodoma?mbwambo hivi rwanda wana chuo kama udom? Umeshindwa kumpa heko jk hata kwa jambo kama hilo?au wewe ndo ulipanga shughuli hiyo?maandishi ya mbwambo hayana tofauti na mwandishi anayetumia jina la bandia anayejiita msomaji raia hawa ni kama mapacha na mbwambo kuanzia mtiririko wa uandishi wao,mawazo hasi dhidi ya jk, chuki zao za wazi zisizo na sababu kwa jk .huyu msomaji raia kaanza kuandika toka mwaka jana kuwa rais jk hashauriki. Hiyo ilikuwa mwezi wa tisa 2009. Mwaka huu kajisahau kaandika kuwa rais kikwete anasikiliza marafiki zake sana. Sasa mtu ambaye hashauriki atasikiliza marafiki na watu wake wa karibu?cha ajabu minal rahman mbambo kawahi kuandika makala kumsifu waziri mkuu mizengo pinda kama waziri makini na mtendaji ni swali je aliyemteua pinda si ndio jk? Kazi hizo zinazo mfurahisha mbwambo ndizo za jk.anafanya kwa maelekezo ya jk. Hii ni double standards.mfano gazeti la jumatano ya jana mbwambo karudia habari ya world economic forums uliofanyika dsm 5-7 mei 2010.
Huko nyuma aliwahi kuandika makala ya kukebehi mkutano ule kwa vile tu mgeni rasmi alikuwa jk.imekuwa kama mbwambo ana allergy na jina la jk.ameamua kuwa anarudia rudia maneno ya kumchafua jk.najiuliza kama mbwambo angepewa fursa ya kuambiwa ukimuombea jambo jema moja jirani basi wewe utapata mara mbili, yaani kama ukiomba jirani awe na nyumba basi mwenyezi mungu atakupa nyumba mbili. Kwa mbwambo angeomba yeye atolewe jicho moja ili jk akose macho mawili.masikini maombi huombwa kwenye mambo mema tu.
Napata ugumu kujua kama raia mwema ni gazeti la kina ulimwengu au ni la padri slaa? Maana tanzania daima inajulikana ni la mbowe na hili ni la slaa?
Naishia hapa kwa sasa.

Mungu ibariki tanzania
tafakari tafakuru yako
 
Maggid: Waingereza wana msemo usemao "Walk your talk". Nadhani ni wakati muafaka wa kuileta katiba ya CCM na kuichambua kifungu kwa kifungu na kuwapambanua makada hao wa chama wanavyoishi kulingana na katiba ya chama chao wanachokiamini na kukitumikia.
Unakumbuka msemo huu " Ujamaa na kujitegemea ndio njia pekee ya kujenga jamii ya watu walio sawa na huru"? Unafahamu unapakikana wapi? Wanaopigia upatu chama wanaishi yasemavyo maneno hayo?
 
Dear GOD, may you listen to our prayers and help us win this election (Chadema). Dear GOD, We ask now to ignore our enemies prayers.. Amen.

Huyo mungu unayemuomba ni feki. Anajua Kiengereza tu? Kiswahili kinakula kona? :tonguez:
 
ndiyo anafaa akajifnze.

hatuwezi kuongozwa na punguani
 
Wewe TAFAKARI ndiye unaonekana una matatizo -- au ya uelewa au ushabiki wa kijinga kwa JK. Hakuna mtu mwenye akili timamu atakayeshindwa kutambua mapungufu makubwa katika utawala wa JK. Watu waliopevuka kama Mbwambo ndio wana uthubutu wa kuweka hayo wazi. Kumkosoa mtu haina maana kwamba una chuki naye kama binadamu. Yawezekana JK kama binadamu wa kawaida ni mtu safi, lakini kama kiongozi wa nchi ana maapungufu makubwa sana. Naamini Mbwambo atazidi kumchambua zaidi ili watanzania wasije wakafanya makosa ya kumrejesha madarakani mtu asiye na sifa ya kuendelea kuwa rais wetu. Unamwita Dr Slaa kama Padre Slaa. Mhariri wa Daily News katika ile tahariri yake ya kipumbavu pia alitumia neno Padre. Lakini Dr Slaa sio padre, na wewe unajua hilo. Ni dalili au ya udini au chuki tu za kijinga dhidi ya kiongozi huyu ambaye sasa anaonyesha kukubalika zaidi kuliko huyo JK wenu.
aaaaah wapi,kwanini hutaki tumuite padri?na wakati alikuwa na wadhiwa huo sema tuuuu tamaaaa za kimwili zikamponza,bado tunamuhitaji katika madhabau aje atuuongoze.hafai kuwa kiongozi katika nchi yetu.
 
Gazeti hili na hasa makala ya Johson Mbwambo ni za chuki za wazi kwa JK imekuwa ada kwa makala za Mbwambo kila wiki kumsema,kukejeli na kumkosoa vibaya JK.kwa muda mrefu sana hali hii inatia kinyaa na kumuona Mbwambo ni mtu asiyeaminika.Tukumbuke kuwa kabla ya kampeni za uchaguzi mtu huyu aliandika makala huku akisema kuwa Waandishi wazingatie maadili katika kipindi hiki.
Lakini mlolongo wa makala zake toka mwanzo wa kampeni umeanza kwenda kinyume na kile alichokiandika kabla ya kampeni.Umeanza kuonyesha kuwa Mbwambo amekuwa na agenda yake iliyojificha dhidi ya JK.Mara aseme kimfaacho Jk ni asasi na si urais huku akisahau kuwa ni Kikwete huyu huyu ambaye amekuwa madrakani kwa miaka mitano iliyopita huku Mbwambo akiwa kama mwananchi wake. Hili ameliandika katika makala yake ya jana 06/10/2010.Amefikia mahali akathubutu hata kuandika kuwa inafaa JK akajifunze kwa Rais Kagame wa Rwanda.Sina hakika kama alitaka JK akajifunza kutumia nchi za wengine kufadhili ghasia na kutumia nafasi hiyo kusaidia nchi yake au alimaanisha JK akajifunze jinsi ya kuwanyima wapinzani uhuru na kutishia vyombo vya habari,sijui hasa alimaanisha nini.Labda Watanzania wenzangu mtanisaidia.
Hivi Ukubwa wa Tanzania utaufananisha na Rwanda? kama kujifunza kwanini Kagame wa Rwanda asije kujifunza kwa JK KWENYE ujenzi wa Chuo kikuu cha kuigwa cha Dodoma?Mbwambo hivi Rwanda wana chuo kama UDOM? umeshindwa kumpa heko JK hata kwa jambo kama hilo?Au wewe ndo ulipanga shughuli hiyo?Maandishi ya MBWAMBO hayana tofauti na mwandishi anayetumia jina la bandia anayejiita MSOMAJI RAIA hawa ni kama mapacha na Mbwambo kuanzia mtiririko wa uandishi wao,mawazo hasi dhidi ya JK, chuki zao za wazi zisizo na sababu kwa JK .HUYU MSOMAJI RAIA kaanza kuandika toka mwaka jana kuwa Rais Jk hashauriki. Hiyo ilikuwa mwezi wa tisa 2009. mwaka huu kajisahau kaandika kuwa Rais Kikwete anasikiliza marafiki zake sana. sasa mtu ambaye hashauriki atasikiliza marafiki na watu wake wa karibu?Cha ajabu minal rahman Mbambo kawahi kuandika makala kumsifu waziri Mkuu Mizengo Pinda kama waziri makini na mtendaji ni swali je aliyemteua Pinda si ndio JK? kazi hizo zinazo mfurahisha Mbwambo ndizo za JK.anafanya kwa maelekezo ya JK. HII NI DOUBLE STANDARDS.MFANO gazeti la jumatano ya jana Mbwambo karudia habari ya World Economic Forums uliofanyika Dsm 5-7 Mei 2010.
huko nyuma aliwahi kuandika makala ya kukebehi mkutano ule kwa vile tu mgeni Rasmi alikuwa JK.imekuwa kama Mbwambo ana allergy na jina la JK.ameamua kuwa anarudia rudia maneno ya kumchafua JK.NAJIULIZA kama Mbwambo angepewa fursa ya kuambiwa ukimuombea jambo jema moja jirani basi wewe utapata mara mbili, yaani kama ukiomba jirani awe na nyumba basi Mwenyezi Mungu atakupa nyumba mbili. kwa Mbwambo angeomba yeye atolewe jicho moja ili Jk akose macho mawili.masikini maombi huombwa kwenye mambo mema tu.
Napata ugumu kujua kama Raia mwema ni gazeti la Kina Ulimwengu au ni la Padri Slaa? maana Tanzania Daima inajulikana ni la Mbowe na hili ni la Slaa?
Naishia hapa kwa sasa.

MUNGU IBARIKI TANZANIA

Wewe una matatizo. Kwani kila gazeti lina sehemu ambayo mmiliki ameandikwa! La Uhuru ni la JK au CCM? Mtanzania ni la Habari Corporation au Rostam? Kuna kampuni kumiliki gazeti na mwenye share nyingi kwenye kampuni hiyo.

Kamwuulize registrar wa makampuni au magazeti pale Posta!

Wewe umejiunga na JF kwa ajili ya kumpigia JK kura kwenye JF poll?
 
Ndugu Tafakari nimesoma kwa makini makala yako nimesoma kila neno naona umejieleza vizuri bila shaka labda nikwambie watu wa aina ya Jonson Mbwambo ni wa aina gani, hawa ni watu wasio na shukrani kabisa.............kama unabisha nenda pale Mzumbe sekondari halafu uliza habari zake au tafuta file lake utaona alivyozoea kutukanatukana, kwanza huwa hawezi kujadili kwa hoja wala mantiki badala yake hujikita kwenye upande mmoja tu na kujadili kwa chuki labda niunge mkono wazo lako kwamba kama vile mtu anavyoweza kuwa na allergy na samaki basi na huyu Johnson Mbwambo ana allergy na Kikwete dawa ni kumpuuza kwa maana asiyejua maana haambiwi maana.
Am I noting some trend here? Wachangiaji wengi wanaounga mkono CCM wote wamejiandikisha hapa kati ya sasa na September 2010, je hawa wametumwa kwa kazi maalum?????? Au ndio wale Majasusi wanaosemwa. CHONDE CHONDE nyie walafi, tuachieni Tanzania yetu, tuacheni mwende zenu na tamaa zenu, enendeni zenu nyie walamba manyeo
 
Gazeti hili na hasa makala ya Johson Mbwambo ni za chuki za wazi kwa JK imekuwa ada kwa makala za Mbwambo kila wiki kumsema,kukejeli na kumkosoa vibaya JK.kwa muda mrefu sana hali hii inatia kinyaa na kumuona Mbwambo ni mtu asiyeaminika.Tukumbuke kuwa kabla ya kampeni za uchaguzi mtu huyu aliandika makala huku akisema kuwa Waandishi wazingatie maadili katika kipindi hiki.
Lakini mlolongo wa makala zake toka mwanzo wa kampeni umeanza kwenda kinyume na kile alichokiandika kabla ya kampeni.Umeanza kuonyesha kuwa Mbwambo amekuwa na agenda yake iliyojificha dhidi ya JK.Mara aseme kimfaacho Jk ni asasi na si urais huku akisahau kuwa ni Kikwete huyu huyu ambaye amekuwa madrakani kwa miaka mitano iliyopita huku Mbwambo akiwa kama mwananchi wake. Hili ameliandika katika makala yake ya jana 06/10/2010.Amefikia mahali akathubutu hata kuandika kuwa inafaa JK akajifunze kwa Rais Kagame wa Rwanda.Sina hakika kama alitaka JK akajifunza kutumia nchi za wengine kufadhili ghasia na kutumia nafasi hiyo kusaidia nchi yake au alimaanisha JK akajifunze jinsi ya kuwanyima wapinzani uhuru na kutishia vyombo vya habari,sijui hasa alimaanisha nini.Labda Watanzania wenzangu mtanisaidia.
Hivi Ukubwa wa Tanzania utaufananisha na Rwanda? kama kujifunza kwanini Kagame wa Rwanda asije kujifunza kwa JK KWENYE ujenzi wa Chuo kikuu cha kuigwa cha Dodoma?Mbwambo hivi Rwanda wana chuo kama UDOM? umeshindwa kumpa heko JK hata kwa jambo kama hilo?Au wewe ndo ulipanga shughuli hiyo?Maandishi ya MBWAMBO hayana tofauti na mwandishi anayetumia jina la bandia anayejiita MSOMAJI RAIA hawa ni kama mapacha na Mbwambo kuanzia mtiririko wa uandishi wao,mawazo hasi dhidi ya JK, chuki zao za wazi zisizo na sababu kwa JK .HUYU MSOMAJI RAIA kaanza kuandika toka mwaka jana kuwa Rais Jk hashauriki. Hiyo ilikuwa mwezi wa tisa 2009. mwaka huu kajisahau kaandika kuwa Rais Kikwete anasikiliza marafiki zake sana. sasa mtu ambaye hashauriki atasikiliza marafiki na watu wake wa karibu?Cha ajabu minal rahman Mbambo kawahi kuandika makala kumsifu waziri Mkuu Mizengo Pinda kama waziri makini na mtendaji ni swali je aliyemteua Pinda si ndio JK? kazi hizo zinazo mfurahisha Mbwambo ndizo za JK.anafanya kwa maelekezo ya JK. HII NI DOUBLE STANDARDS.MFANO gazeti la jumatano ya jana Mbwambo karudia habari ya World Economic Forums uliofanyika Dsm 5-7 Mei 2010.
huko nyuma aliwahi kuandika makala ya kukebehi mkutano ule kwa vile tu mgeni Rasmi alikuwa JK.imekuwa kama Mbwambo ana allergy na jina la JK.ameamua kuwa anarudia rudia maneno ya kumchafua JK.NAJIULIZA kama Mbwambo angepewa fursa ya kuambiwa ukimuombea jambo jema moja jirani basi wewe utapata mara mbili, yaani kama ukiomba jirani awe na nyumba basi Mwenyezi Mungu atakupa nyumba mbili. kwa Mbwambo angeomba yeye atolewe jicho moja ili Jk akose macho mawili.masikini maombi huombwa kwenye mambo mema tu.
Napata ugumu kujua kama Raia mwema ni gazeti la Kina Ulimwengu au ni la Padri Slaa? maana Tanzania Daima inajulikana ni la Mbowe na hili ni la Slaa?
Naishia hapa kwa sasa.

MUNGU IBARIKI TANZANIA

Ndugu Tafakari, kumbuka kuwa Mbwambo ameandika makala - maoni - tafakari - yake jinsi gani anavyomwona Dr Jakaya Kikwete kwa yale aliyoyasema mwenyewe. Hayo ni mawazo yake kama wewe ulivyo na maoni tofauti kuhusu Dr Kikwete. Kwa nini sasa ufikiri kuwa maoni yako ndiyo sahihi na ya Mbwambo siyo sahihi? Hebu na wewe jiulize kama kweli unamtendea haki Mbwambo. Na kwa mantiki hii siyo tu Dr Kikwete mwenye haki ya kuandikwa vizuri, hata mwandishi mwenyewe ana haki ya kueleza mawazo yake na mwingine mawazo yake na mwisho wa siku sisi wasomaji tunaweza kuchambua na kujifunza vitu mbalimbali kutoka kwa waandishi wote.

Ungeweza kumlaumu ikiwa angeripoti kitu ambacho siyo kweli (yaani kuandika habari inayokiuka sheira na miiko ya uandishi wa habari). As far as I'm concerned, maoni ya Mbwambo ni 'fair comments' juu ya kitu fulani ambacho Dr Kikwete alishakiongelea.
 
hivi we maggid mjengwa una mtindio wa akili eeeh???hii aliyotumia mwenzako Dilunga ni lugha ya picha ambayo kimustakabli inakubalika...hata kama angesema watu laki moja is fine, hata BIBLE inapenda sana kutumia lugha hii..mfano ''YESU aliwalisha watu 5000 pale juu ya mlima'' haimaanishi kwamba kulikuwa na exactly watu 5000 NO,bali ni picha tu inayoonyesha kulikuwa na watu wengi kutosha!!na kwa umbayuwayu wako(short minded) badala ya kuijibu hii comment yako chini ya mada halisi,umeamua kujificha huku kwenye kwenye mada yenye kichwa cha habari tofauti...tumekusoma kwa taarifa yako....hiyo mada kitu cha msingi ni ''UTULIVU NA USIKIVU'' finish....hayo mambo ya idadi ya watu everybody knows how population comes infront of platform where Dk SLAA stands. CHANGANUA HOJA MUHIMU NA SI USHABIKI TU....yaani mada yote ndefu umeona ukosoe kwenye idadi ya watu tu???SHAME ON YOU MAGGID!!!!
 
Rwanda wameendelea kwa KILA KITU as compared na TZ. Bwana JK atajifunza vitu vingi mno, ikiwamo utawala bora na jinsi ya kuwadhibiti wezi, manyang'au na mafisadi pamoja na kuweka vipaumbele vya serikali na kuvisimamia ipasavyo.

Rwanda ukiiba pesa, hupewi muda wa kuzirudisha ili usamehewe. Pia Kamanda agame huwa hasemi ati ''nawafamu wezi wooote wa bandarini ila nawapa muda wajisafishe''.

Tungekuwa Rwanda, jambo Forum ingefungwa, Tanzania Daima ingekuwa ndoto, na Raia Mwema lisingekuwa hewani. Tungekuwa Rwanda, presidential term ni 7 years. Waulize ndugu wa yule mwandishi aliyekutwa amekufa for writing anti-Kagame article. Tungekuwa Rwanda, kabila moja tu ndio lingekuwa tabaka la utawala. Na tungekuwa kama Kagame tungepeleka jeshi letu DRC (Laurent Nkunda) kuterrorize WaHutu wa Congo and secure mineral rich areas. Tungekuwa Rwanda tungetumiwa na US kama njia ya kuiba utajiri wa DRC na ndio maan Rwanda gets plenty of aide monies from US. Tukiwa kama Rwanda, maana yake Kagame akifa leo tu, nchi inarudi kwenye vita. And YES Kagame took part in Genocide kwa msaada mkubwa tu wa US na ndio maana security council ya UN haikuzuia genocide, that will be the only way to put Kagame in power.

Acheni kutulinganisha na Rwanda, it has 10m people. With no National identity or cohesiveness. We have a much matured democracy than them, and that is the pre-requisite for sustainable maendeleo.
 
Awali ya yote nimpongeze sana Bw. Mbwambo kwa makala zake fupi na makini sana. Mungu akubariki sana kwa kujitoelea kiasi hicho kuanika uwezo mdogo na mtazamo wa hovyo kuhusu maendeleo ya nchi yetu.

Nd zangu, unapotaka kumchambua Mwandishi kama anaonea mtu fulani au sehemu fulani ya jamii ni vizuri kujikita kwenye hoja anayoongelea. Mimi ni msomaji wa muda mrefu sana wa Mbwambo na Ulimwengu tangu wakati wa RAI (Siyo RAI ya sasa ya mafisadi). Makala za Mbwambo siku zote zimekuwa na mantiki sana na zinajaa marejeo na takwimu muhimu sana. Ni makala za kisomi zisizo na chembe ya kuonea wala kupendelea. Kwa maoni yangu, mapungufu ya jk anayoandika Mbwambo bado hayajitoshelezi. Yapo mengi zaidi. Nchi haiwezi kuongozwa na mtu mwenye uwezo finyu kiasi hicho halafu waandishi makini wa aina ya Mbwambo wakae kimya tu. Lazima aandikwe ili wananchi wamfahamu rais wao.

Brother Mbwambo usikatishwe tamaa na vijitu vinavyoishi kwa misaada ya mafisadi. Endelea na uchambuzi wako. Watanzania wapo nyuma yako na zaidi ya yote ulinzi wa Mungu umekuzunguka.
 
Bwana Mbwambo anaandika kile anachohisi yeye binafsi na kukiweka wazi.Je maadili ya uandishi wa habari yanafuatwa?Tuna magazeti mengi yenye makala mbalimbali na wote hao kuna mahali wanapoegemea.

Kutokana na hilo hapo juu ni wazi kuwa Mbwambo yuko kwenye vita dhidi ya JK akijitahidi kumpakazia ili aonekane hafai kuwa kiongozi.Anafanya hivyo either kwa chuki tu au kwa sababu ametumwa na kambi nyingine.
Kinachotakiwa kuangaliwa zaidi ni maudhui yaliyomo ndani ya makala.Je kuna ukweli au fitna?

Kwa maoni yangu naona makala zinamlenga Kikwete wakati huu wa kampeni kwa faida ya Slaa na chama chake.Baada ya uchaguzi kuna mawili,moja Mbwambo atakuwa na cheo cha Mwandishi wa habari wa Rais Slaa,au ataendelea kuwa Mbwambo mwandishi wa gazeti.
 
Ujinga ujinga...............you see?..................mbwambo.....................ruined journalist?.......................?????
 
Kikwete ni kilema!! Anaua na kuangamaiza taifa...just wait and see!!!

Ameua ari ya creativity ya jamii... Intrisic power of creating through stress ...

Kwani hii ndio namna mtu anaweza kukomaa na kuwa huru na kuacha kuomba omba....

Kikwete ... is weak and people pleser... ameua nguvu ya jamii na ya taifa katika kuwa huru katika kufanya kazi na kujivunia kufanya kazi ... anaua kukomaa kama taifa....!! Is weak and feable!!! na Taifa linaonekana hivyo yaani hali ya kuugua ....lote litaugua ukiwmi sasahivi wewe ngija uone...!!

Mbwabo anaona hili .... na anampasha Rais kwani ni stahili yake....!!

Tafakari...do you realy think Kikwete analalamikia hilo....!!

Namjua Kikwete...na kiukweli amelipokea tafakari ya Mbwabo..na ANAITAFAKARI!!!

Its time people like you to wake up!!!

Msikubali kuhujumiwa kwa nguvu ya umma ya kujitegemea kama taifa ... kwa kupewa vijizawadi, vijiagadi na vijimisaaada toka nje na zaidi msiogope kupokea firm and strong corrections kama za Mbwabo ....Please also dont forget to tell this to your Prez`...
 
Nina kila sababu ya kuamini kuwa huyu TAFAKARI ni muandishi kama alivyo Mbwambo lakini yeye mwenzetu ni mchumia tumboni ambae yuko tayari kuuza utu na heshima yake kwa kuwa mtumwa wa mafisadi. Johnson Mbwambo ni mmoja kati ya waandishi mahili waliobaki nchi hii ambae ana uchungu sana wajinsi nchi yake inavyoendeshwa kiusanii na watu ambao kwa kila kigezo hawapaswi kuwa viongozi wa taifa la Tanzania. TAFAKALI okota makombo ya hao wanaokutumia lakini jambo moja lililowazi ni kwamba wewe na hao wanaokutuma hamna uzalendo wa kuipenda nchi hii kama Mbwambo; na anaionesha hii kwa kutumia kalamu yake bila unafiki na hicho ndio kipimo cha uandishi mahili. Mimi husoma makala za Mbwambo kila alhamisi pale anapokuaameandika na hata siku moja sijawahi kuona pahala amemkosoa Jakaya kwa kumuonea bila uthibitisho tofauti na wewe Tafakali unashindwa hata kukili kuwa Jakaya ana mengi ya kujifunza toka kwa Kagame ingawa Rwanda ni nchi ndogo kuliko Tanzania; mfano wa kitu ambacho Kagame anaweza kumfundisha Jakaya ni jinsi ya kutumia rasilimali zetu vizuli, leo hii RWADAIR ina ndege zake zinazosafiri hadi mashariki ya kati wakati sisi hapa shirika letu la ndege ATCL si tu halina ndege bali hata bodi ya wakurugenzi ya kuliongoza!! Nchi peke yake yenye shirika la la ndege linalojiendesha kwa AUTO_PILOT!! Haya ndio mambo ambayo Mbwambo anakosoa kuwa Jakaya ameshindwa kuongoza nchi pengine angefaa kuongoza asasi za misaada za kimataifa zinazotegemea kutembeza bakuli. TAFAKALI HUYU bwana Mbwambo sio size yako tafuta wenzio wa Habari Corporation ndio mcheze wote cha ndimu ; Johnson belongs to the super league!!
 
Selemani said:
Tungekuwa Rwanda, jambo Forum ingefungwa, Tanzania Daima ingekuwa ndoto, na Raia Mwema lisingekuwa hewani. Tungekuwa Rwanda, presidential term ni 7 years. Waulize ndugu wa yule mwandishi aliyekutwa amekufa for writing anti-Kagame article. Tungekuwa Rwanda, kabila moja tu ndio lingekuwa tabaka la utawala. Na tungekuwa kama Kagame tungepeleka jeshi letu DRC (Laurent Nkunda) kuterrorize WaHutu wa Congo and secure mineral rich areas. Tungekuwa Rwanda tungetumiwa na US kama njia ya kuiba utajiri wa DRC na ndio maan Rwanda gets plenty of aide monies from US. Tukiwa kama Rwanda, maana yake Kagame akifa leo tu, nchi inarudi kwenye vita. And YES Kagame took part in Genocide kwa msaada mkubwa tu wa US na ndio maana security council ya UN haikuzuia genocide, that will be the only way to put Kagame in power.

Acheni kutulinganisha na Rwanda, it has 10m people. With no National identity or cohesiveness. We have a much matured democracy than them, and that is the pre-requisite for sustainable maendeleo.

Selemani,

..sasa unataka tulinganishwa na nani? kujilinganisha na majirani zetu ambao inaelekea wanafanya vizuri KIUCHUMI siyo vibaya.

..sidhani kama Mbwambo anaota njozi kwamba Tanzania iwe sawa na Rwanda "one-to-one on to". anachosema Mbwambo ni kwamba tushindane na Rwanda ktk yale mambo yenye faida na tija kwa Tanzania.

..Tanzania tuna resources nyingi sana kulinganisha na Rwanda. yaani anayetuzidi kwa utajiri wa maliasili ktk eneo hili ni Congo-Kinshasa. sasa kwanini hatuzitumii vizuri kuboresha maisha ya wananchi wetu?

..binafsi nadhani tatizo ni JK na Chama cha Mapinduzi. kinachotakiwa kufanyika ni kuwaweka kando wakajisaili na kujifunza kutokana na makosa yao.
 
Gazeti hili na hasa makala ya Johson Mbwambo ni za chuki za wazi kwa JK imekuwa ada kwa makala za Mbwambo kila wiki kumsema,kukejeli na kumkosoa vibaya JK.kwa muda mrefu sana hali hii inatia kinyaa na kumuona Mbwambo ni mtu asiyeaminika.Tukumbuke kuwa kabla ya kampeni za uchaguzi mtu huyu aliandika makala huku akisema kuwa Waandishi wazingatie maadili katika kipindi hiki.
Lakini mlolongo wa makala zake toka mwanzo wa kampeni umeanza kwenda kinyume na kile alichokiandika kabla ya kampeni.Umeanza kuonyesha kuwa Mbwambo amekuwa na agenda yake iliyojificha dhidi ya JK.Mara aseme kimfaacho Jk ni asasi na si urais huku akisahau kuwa ni Kikwete huyu huyu ambaye amekuwa madrakani kwa miaka mitano iliyopita huku Mbwambo akiwa kama mwananchi wake. Hili ameliandika katika makala yake ya jana 06/10/2010.Amefikia mahali akathubutu hata kuandika kuwa inafaa JK akajifunze kwa Rais Kagame wa Rwanda.Sina hakika kama alitaka JK akajifunza kutumia nchi za wengine kufadhili ghasia na kutumia nafasi hiyo kusaidia nchi yake au alimaanisha JK akajifunze jinsi ya kuwanyima wapinzani uhuru na kutishia vyombo vya habari,sijui hasa alimaanisha nini.Labda Watanzania wenzangu mtanisaidia.
Hivi Ukubwa wa Tanzania utaufananisha na Rwanda? kama kujifunza kwanini Kagame wa Rwanda asije kujifunza kwa JK KWENYE ujenzi wa Chuo kikuu cha kuigwa cha Dodoma?Mbwambo hivi Rwanda wana chuo kama UDOM? umeshindwa kumpa heko JK hata kwa jambo kama hilo?Au wewe ndo ulipanga shughuli hiyo?Maandishi ya MBWAMBO hayana tofauti na mwandishi anayetumia jina la bandia anayejiita MSOMAJI RAIA hawa ni kama mapacha na Mbwambo kuanzia mtiririko wa uandishi wao,mawazo hasi dhidi ya JK, chuki zao za wazi zisizo na sababu kwa JK .HUYU MSOMAJI RAIA kaanza kuandika toka mwaka jana kuwa Rais Jk hashauriki. Hiyo ilikuwa mwezi wa tisa 2009. mwaka huu kajisahau kaandika kuwa Rais Kikwete anasikiliza marafiki zake sana. sasa mtu ambaye hashauriki atasikiliza marafiki na watu wake wa karibu?Cha ajabu minal rahman Mbambo kawahi kuandika makala kumsifu waziri Mkuu Mizengo Pinda kama waziri makini na mtendaji ni swali je aliyemteua Pinda si ndio JK? kazi hizo zinazo mfurahisha Mbwambo ndizo za JK.anafanya kwa maelekezo ya JK. HII NI DOUBLE STANDARDS.MFANO gazeti la jumatano ya jana Mbwambo karudia habari ya World Economic Forums uliofanyika Dsm 5-7 Mei 2010.
huko nyuma aliwahi kuandika makala ya kukebehi mkutano ule kwa vile tu mgeni Rasmi alikuwa JK.imekuwa kama Mbwambo ana allergy na jina la JK.ameamua kuwa anarudia rudia maneno ya kumchafua JK.NAJIULIZA kama Mbwambo angepewa fursa ya kuambiwa ukimuombea jambo jema moja jirani basi wewe utapata mara mbili, yaani kama ukiomba jirani awe na nyumba basi Mwenyezi Mungu atakupa nyumba mbili. kwa Mbwambo angeomba yeye atolewe jicho moja ili Jk akose macho mawili.masikini maombi huombwa kwenye mambo mema tu.
Napata ugumu kujua kama Raia mwema ni gazeti la Kina Ulimwengu au ni la Padri Slaa? maana Tanzania Daima inajulikana ni la Mbowe na hili ni la Slaa?
Naishia hapa kwa sasa.

MUNGU IBARIKI TANZANIA

wewe ni member humu, sijakusikia hata siku moja ukimlaumu MS, Tumaini, na wengineo kwa kumwandika vibaya Dr Slaa, hao niliowataja hawajawahi hata siku moja kuandika mazuri ya Slaa lakini uko kimya tu, mbona wandishi wa Alnuur hawajawahi kumwandika vizuri slaa hata siku moja lakini hujalalamika, kwa nini unalalamika kwa kikwete tu, ungeleta kero zako za waandishi wote wasiowaandikkia JK na Slaa hapo tungekuona uko fair, lakini kwa kumlilia kikwete peke yake inaonekana uko upande mmoja tu
 
Back
Top Bottom