Ya Haji Manara na kisa cha Chanjadi, Mkristo wa Kinondoni

Ya Haji Manara na kisa cha Chanjadi, Mkristo wa Kinondoni

Na uhakika Simba akifungwa roho yamuuma sana, juzi kafunga ugenini huko roho yake kwatu. Ila maisha ya kugiza yanatesa sana na ndio maana wameshakorofishana na mkewe
 
 
Miaka ya tisini Na mwanzoni mwa miaka ya elfu 2 mitaa ya kino Kuna brother mmoja alijulikana Kwa Jina la Chanjadi. Chanjadi alizaliwa katika familia ya Kiislamu. Kama ilivyo ada kwa watoto wa Kino chanjadi ishu zake nyingi alikuwa anafanyia Dizonga.

Siku moja Chanjadi from nowhere akawaambia ndugu jamaa Na rafiki zake "kuanzia leo Mimi ni Mkiristo. Watu hawakuamjni waliona kama anafanya vile na wengine walifikiri amechanganyikiwa but huo ndio UKAWA ukweli mpya. Chanjadi hakuwahi kurejea nyuma. Mara ya mwisho kusikia kuhusu chanjadi ilikuwa Na mwaka 2012 Na bado alikuwa Mkiristo.

Up to now sijui kama bado yupo Hai au la.

The same to Bugatti, ndo amesha hamia Yanga hivyo
Hoja yako nini hapo, hivi ni lazima uandike tu hata kam ni pumba ili mradi naww uonekane kupost chochote? Nyambafu
 
Haji yupo Yanga kwa maslahi lakini ukweli haji ni Simba
 
Back
Top Bottom