Mis powers
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 2,737
- 3,534
Na uhakika Simba akifungwa roho yamuuma sana, juzi kafunga ugenini huko roho yake kwatu. Ila maisha ya kugiza yanatesa sana na ndio maana wameshakorofishana na mkewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hoja yako nini hapo, hivi ni lazima uandike tu hata kam ni pumba ili mradi naww uonekane kupost chochote? NyambafuMiaka ya tisini Na mwanzoni mwa miaka ya elfu 2 mitaa ya kino Kuna brother mmoja alijulikana Kwa Jina la Chanjadi. Chanjadi alizaliwa katika familia ya Kiislamu. Kama ilivyo ada kwa watoto wa Kino chanjadi ishu zake nyingi alikuwa anafanyia Dizonga.
Siku moja Chanjadi from nowhere akawaambia ndugu jamaa Na rafiki zake "kuanzia leo Mimi ni Mkiristo. Watu hawakuamjni waliona kama anafanya vile na wengine walifikiri amechanganyikiwa but huo ndio UKAWA ukweli mpya. Chanjadi hakuwahi kurejea nyuma. Mara ya mwisho kusikia kuhusu chanjadi ilikuwa Na mwaka 2012 Na bado alikuwa Mkiristo.
Up to now sijui kama bado yupo Hai au la.
The same to Bugatti, ndo amesha hamia Yanga hivyo
Haji yupo Yanga kwa maslahi lakini ukweli haji ni Simba
Haji ni manara mfanyakazi wa GSM na yanga lakini ni shabiki wa simbaHapana Haji ni manara ndugu yangu
Mkuu, ubarikiwe sana!Hoja yako nini hapo, hivi ni lazima uandike tu hata kam ni pumba ili mradi naww uonekane kupost chochote? Nyambafu