YASIYOSEMWA
Member
- Jun 1, 2026
- 68
- 149
Hahahahha mswahili wa tandahimba unajiita Eli Cohen?
Kuna watu hawawaelewi vizuri waajemi...Hao Ni ancient civilization Na wanajua Hilo,kimsingi ndo maana ulaya hawakutaka kabisa kuingia kwenye Huu mzozo,kumbuka west Europe ndo Roman empire...Bado hujaeleza vizuri juu ya Persian Empire hao jamaa sio wa mchezo mchezo Boss.
Roman Empire wanawaelewa vizuri sana.
Middle East yote ilikuwa chini ya miliki ya Persian Empire, kipindi hicho USA na USSR bado hazifahamiki.