Nahisi hii ilikuwa ni mechi ya timu ya Taifa
PM Majaliwa aki control mpira mbele ya Komba RIP au nani huyu
Boniface Pawassa akilia na kubembelezwa na Uhuru Suleiman...itakuwa wakati wa kumuaga Marehemu Patrick Mafisango Mei 2012
John MakeleleKati ya wachezaji waliocheza mpira kuanzia miaka ya 1985 kuendelea, wachezaji wafuatao ni ngumu sana kuwafananisha na mastaa wa sasa wa hapa kwetu;
Hamisi Gaga
Athumani China
Zamoyoni Mogella
Hussein Marsha
Saidi Mwamba
Edibily Lunyamila
Method Mogella
George Masatu
Hawa jamaa walijuwa wanaujua kweli.
The dream team ya 2001 chini ya Udhamini wa MO , NBC na Simba Cement, na kocha akiwa mtaalamu James Siang'a...acha kabisa nafikiri hapa ni kabla ya kuizaba 44KJ ya Mbeya 7-0 kapteni Mwameja, Pawassa, Shekhan Rashid Madaraka Suleiman mzee wa kiminyio , Matola na Magere Masatu wanaonekana hapo
Hii miili ya mpira haswaaa
Moja ya vikosi bora kabisa vya Simba sports Club, kama sikosei hii ni 1993 kabla ya moja ya mechi za Kombe la CAF
Moja ya vikosi bora vya Young Africans Sports Club, kama sikosei hii ni 1993 maana baadhi ya wachezaji waliopo hapo walicheza mwaka huo.
moja ya Midfielders waliokuwa wanajua sanaaaa, ila bangi zilikuwa zinawaharibia tuu, Athumani Iddi na Haruna Moshi katika ubora wao